moody kabwe
Member
- Mar 13, 2015
- 76
- 21
Nimekiandaa kikosi vizuri na kizuri kwao kila mmoja anatamani klabu iandike historia ya ushindi hapa sousse. Wapinzani wangu ni wazuri na wana experience kubwa na michuano hii lakini tumekuja kupambana na si kukamilisha ratiba. Hali ya hewa ni changamoto kubwa kwetu lakini nashukuru wachezaji wameanza kuizoea. Nachoweza kusema mipango ikifuatwa vizuri, hali ya kujituma na maamuzi sahihi toka kwa refa basi Yanga itarudi na pointi tatu jijini Dar. Mwenyenzi mungu atusaidie
Hans Van der Pluijm
Hans Van der Pluijm