Hans de pluijm ahidi kurudi na ushindi

Hans de pluijm ahidi kurudi na ushindi

moody kabwe

Member
Joined
Mar 13, 2015
Posts
76
Reaction score
21
Nimekiandaa kikosi vizuri na kizuri kwao kila mmoja anatamani klabu iandike historia ya ushindi hapa sousse. Wapinzani wangu ni wazuri na wana experience kubwa na michuano hii lakini tumekuja kupambana na si kukamilisha ratiba. Hali ya hewa ni changamoto kubwa kwetu lakini nashukuru wachezaji wameanza kuizoea. Nachoweza kusema mipango ikifuatwa vizuri, hali ya kujituma na maamuzi sahihi toka kwa refa basi Yanga itarudi na pointi tatu jijini Dar. Mwenyenzi mungu atusaidie
Hans Van der Pluijm
 
Attachments

  • 1430494392335.jpg
    1430494392335.jpg
    30.7 KB · Views: 363
shida ya waarabu kwao maamuzi huwa si ya haki kabisa, wanahonga sana waamuzi. Ila mchezo ukiwa fair tu lolote linaweza kutokea, yanga ina kiwango kizuri kwa sasa
 
Kwanini na nyie msifanye Kama wao?
 
Kwanini na nyie msifanye Kama wao?

Tatizo lako uko kishabiki zaidi, unless uwe mgeni na timu za waarabu, ila mi naongelea reality, we kama unajua sheria za mpira wa miguu kesho fuatilia utaamini ninachokisema, na sisemi hivyo kwa sababu ya yanga Noo, hata ingekuwa simba, azam au sijui timu gani hali huwa ni ile ile
 
Labda umenielewa vibaya. Huwa nachoka na timu za Tanzania zikienda nje visingizio vingi. Kama mshajua wanavyofanya wenzenu, kwanini na nyie msifanye Kama wanavyo fanya Kama wenzenu?
 
Tuache unazi bhana,Yanga atapigwa za kutosha tu,tuache kujifariji...
 
Labda umenielewa vibaya. Huwa nachoka na timu za Tanzania zikienda nje visingizio vingi. Kama mshajua wanavyofanya wenzenu, kwanini na nyie msifanye Kama wanavyo fanya Kama wenzenu?

No, nimekupata vizuri mkuu, sema tunapisha kitu kimoja, we unaita visingizio wakati mi nasema ni kweli wanaonewaga sana na waamuzi. We fuatilia tu hata kwenye luninga timu za waarabu zinapocheza kwao na timu za ukanda huu. Sema politics ziko kila mahali, hili suala hata CAF whoever wanajua fitina za waarabu
 
Nakula tabu sana kuongea na watu wa simba mimi kiukweli na hii post niliweka kwa ajili ya wanayanga asa sijui nyie mikia mmefwata nn huku
 
Wavumilie tu hawana cha kusemea kwani,Ligi ndo inaelekea mwishoni na nafasi ya 2 washaikosa wanasubiri mabonanza ili waweze kuongelea yanayoihusu Club yao, for the time being let them talk about Team ya Wananchi
 
iliniuma sana na kile kichwa cha gazeti kwamba yanga ni jogoo la shamba!
 
Nimekiandaa kikosi vizuri na kizuri kwao kila mmoja anatamani klabu iandike historia ya ushindi hapa sousse. Wapinzani wangu ni wazuri na wana experience kubwa na michuano hii lakini tumekuja kupambana na si kukamilisha ratiba. Hali ya hewa ni changamoto kubwa kwetu lakini nashukuru wachezaji wameanza kuizoea. Nachoweza kusema mipango ikifuatwa vizuri, hali ya kujituma na maamuzi sahihi toka kwa refa basi Yanga itarudi na pointi tatu jijini Dar. Mwenyenzi mungu atusaidie
Hans Van der Pluijm

asante sana kocha , sisi tupo nyuma yenu tunaamini mechi ya ushindani imebaki hiyohiyo maana huku nyumbani kazi imemalizika.
 
Back
Top Bottom