Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Kutoka vyanzo vya ndani, kocha hans atachukua mikoba ya Bonifas mkwasa ya kuifundisha taifa starz
BENCHI JIPYA LA UFUNDI LA YANGA LITAKUWA HIVI
Kocha Mkuu : George Lwandamina.
Msaidizi : Charles Boniface Mkwasa.
Kocha wa Makipa : Manyika Peter.
Meneja : Sekilojo Chambua.
ww inakuuma nn rudi kwenuTuondolee huu ' upuuzi ' tafadhali. Bado hajafikia hadhi ya kuwa Kocha wa Taifa Stars. Halafu ni kwanini TFF katika kila jambo la Michezo la nchii hii lazima watangulize ' Uyanga Uyanga? ' Ndiyo maana ' Litimu ' lenyewe halifanyi vyema na Hans akiwa kweli Kocha wa Stars nitakuwa wa Kwanza ' kuihujumu ' ifungwe katika kila mechi. Tumechoka na huu ' ujinga + upumbavu ' unaokithiri katika Mpira wa nchi hii.
Mkuu tatizo ni huyu Malinzi,yaani jamaa ni hamnazo haswa.Tuondolee huu ' upuuzi ' tafadhali. Bado hajafikia hadhi ya kuwa Kocha wa Taifa Stars. Halafu ni kwanini TFF katika kila jambo la Michezo la nchii hii lazima watangulize ' Uyanga Uyanga? ' Ndiyo maana ' Litimu ' lenyewe halifanyi vyema na Hans akiwa kweli Kocha wa Stars nitakuwa wa Kwanza ' kuihujumu ' ifungwe katika kila mechi. Tumechoka na huu ' ujinga + upumbavu ' unaokithiri katika Mpira wa nchi hii.
Mkuu tatizo ni huyu Malinzi,yaani jamaa ni hamnazo haswa.
Tuondolee huu ' upuuzi ' tafadhali. Bado hajafikia hadhi ya kuwa Kocha wa Taifa Stars. Halafu ni kwanini TFF katika kila jambo la Michezo la nchii hii lazima watangulize ' Uyanga Uyanga? ' Ndiyo maana ' Litimu ' lenyewe halifanyi vyema na Hans akiwa kweli Kocha wa Stars nitakuwa wa Kwanza ' kuihujumu ' ifungwe katika kila mechi. Tumechoka na huu ' ujinga + upumbavu ' unaokithiri katika Mpira wa nchi hii.
Huwa nasema mara kwa mara hapo TIFUTIFU hakuna watu wa mpira,huyo Malinzi ndio zeroo kabisa!!!Na ndiyo maana kila kukicha nampiga vita kwani ' hatoshei ' kuwepo hapo TFF.
Weee naniiiiiii banaaaaaa,,,,acha mambo hayoTuondolee huu ' upuuzi ' tafadhali. Bado hajafikia hadhi ya kuwa Kocha wa Taifa Stars. Halafu ni kwanini TFF katika kila jambo la Michezo la nchii hii lazima watangulize ' Uyanga Uyanga? ' Ndiyo maana ' Litimu ' lenyewe halifanyi vyema na Hans akiwa kweli Kocha wa Stars nitakuwa wa Kwanza ' kuihujumu ' ifungwe katika kila mechi. Tumechoka na huu ' ujinga + upumbavu ' unaokithiri katika Mpira wa nchi hii.
Malinzi ni Yanga damu
Kaa nyumbaniTuondolee huu ' upuuzi ' tafadhali. Bado hajafikia hadhi ya kuwa Kocha wa Taifa Stars. Halafu ni kwanini TFF katika kila jambo la Michezo la nchii hii lazima watangulize ' Uyanga Uyanga? ' Ndiyo maana ' Litimu ' lenyewe halifanyi vyema na Hans akiwa kweli Kocha wa Stars nitakuwa wa Kwanza ' kuihujumu ' ifungwe katika kila mechi. Tumechoka na huu ' ujinga + upumbavu ' unaokithiri katika Mpira wa nchi hii.
Mkuu.....umenichekesha sana...Tuondolee huu ' upuuzi ' tafadhali. Bado hajafikia hadhi ya kuwa Kocha wa Taifa Stars. Halafu ni kwanini TFF katika kila jambo la Michezo la nchii hii lazima watangulize ' Uyanga Uyanga? ' Ndiyo maana ' Litimu ' lenyewe halifanyi vyema na Hans akiwa kweli Kocha wa Stars nitakuwa wa Kwanza ' kuihujumu ' ifungwe katika kila mechi. Tumechoka na huu ' ujinga + upumbavu ' unaokithiri katika Mpira wa nchi hii.
Mkuu.....umenichekesha sana...Tuondolee huu ' upuuzi ' tafadhali. Bado hajafikia hadhi ya kuwa Kocha wa Taifa Stars. Halafu ni kwanini TFF katika kila jambo la Michezo la nchii hii lazima watangulize ' Uyanga Uyanga? ' Ndiyo maana ' Litimu ' lenyewe halifanyi vyema na Hans akiwa kweli Kocha wa Stars nitakuwa wa Kwanza ' kuihujumu ' ifungwe katika kila mechi. Tumechoka na huu ' ujinga + upumbavu ' unaokithiri katika Mpira wa nchi hii.
Mbumbumbu FC...Tuondolee huu ' upuuzi ' tafadhali. Bado hajafikia hadhi ya kuwa Kocha wa Taifa Stars. Halafu ni kwanini TFF katika kila jambo la Michezo la nchii hii lazima watangulize ' Uyanga Uyanga? ' Ndiyo maana ' Litimu ' lenyewe halifanyi vyema na Hans akiwa kweli Kocha wa Stars nitakuwa wa Kwanza ' kuihujumu ' ifungwe katika kila mechi. Tumechoka na huu ' ujinga + upumbavu ' unaokithiri katika Mpira wa nchi hii.