Hans kocha Taifa stars

Hans kocha Taifa stars

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
Kutoka vyanzo vya ndani, kocha hans atachukua mikoba ya Bonifas mkwasa ya kuifundisha taifa starz

BENCHI JIPYA LA UFUNDI LA YANGA LITAKUWA HIVI

Kocha Mkuu : George Lwandamina.
Msaidizi : Charles Boniface Mkwasa.
Kocha wa Makipa : Manyika Peter.
Meneja : Sekilojo Chambua.
 
naikiwa hivyo nadhani ile ya 4-1 itakuwa imepanda kufikia 4-2
 
Kutoka vyanzo vya ndani, kocha hans atachukua mikoba ya Bonifas mkwasa ya kuifundisha taifa starz

BENCHI JIPYA LA UFUNDI LA YANGA LITAKUWA HIVI

Kocha Mkuu : George Lwandamina.
Msaidizi : Charles Boniface Mkwasa.
Kocha wa Makipa : Manyika Peter.
Meneja : Sekilojo Chambua.

Tuondolee huu ' upuuzi ' tafadhali. Bado hajafikia hadhi ya kuwa Kocha wa Taifa Stars. Halafu ni kwanini TFF katika kila jambo la Michezo la nchii hii lazima watangulize ' Uyanga Uyanga? ' Ndiyo maana ' Litimu ' lenyewe halifanyi vyema na Hans akiwa kweli Kocha wa Stars nitakuwa wa Kwanza ' kuihujumu ' ifungwe katika kila mechi. Tumechoka na huu ' ujinga + upumbavu ' unaokithiri katika Mpira wa nchi hii.
 
ww inakuuma nn rudi kwenu
 
Mkuu tatizo ni huyu Malinzi,yaani jamaa ni hamnazo haswa.
 
Tuondolee huu ' upuuzi ' tafadhali. Bado hajafikia hadhi ya kuwa Kocha wa Taifa Stars. Halafu ni kwanini TFF katika kila jambo la Michezo la nchii hii lazima watangulize ' Uyanga Uyanga? ' Ndiyo maana ' Litimu ' lenyewe halifanyi vyema na Hans akiwa kweli Kocha wa Stars nitakuwa wa Kwanza ' kuihujumu ' ifungwe katika kila mechi. Tumechoka na huu ' ujinga + upumbavu ' unaokithiri katika Mpira wa nchi hii.

Malinzi ni Yanga damu
 
Na ndiyo maana kila kukicha nampiga vita kwani ' hatoshei ' kuwepo hapo TFF.
Huwa nasema mara kwa mara hapo TIFUTIFU hakuna watu wa mpira,huyo Malinzi ndio zeroo kabisa!!!
Yaani mi huwa namkumbuka hadi Ndolanga japo nae hakuwa mzuri kivile!!
 
Tuondolee huu ' upuuzi ' tafadhali. Bado hajafikia hadhi ya kuwa Kocha wa Taifa Stars. Halafu ni kwanini TFF katika kila jambo la Michezo la nchii hii lazima watangulize ' Uyanga Uyanga? ' Ndiyo maana ' Litimu ' lenyewe halifanyi vyema na Hans akiwa kweli Kocha wa Stars nitakuwa wa Kwanza ' kuihujumu ' ifungwe katika kila mechi. Tumechoka na huu ' ujinga + upumbavu ' unaokithiri katika Mpira wa nchi hii.
Weee naniiiiiii banaaaaaa,,,,acha mambo hayo
 
Hans hawezi kufanya vizuri timu ya taifa.Tanatakiwa kua nakocha mzalendo ili apate kukusanya vipaji na kuwaunganisha wacheze kitimu.Hans anajua sana wachezaji wa yanga hivyo atamlika zaidi anakojua,kitu ambacho kitatugharimu.
 
Tuondolee huu ' upuuzi ' tafadhali. Bado hajafikia hadhi ya kuwa Kocha wa Taifa Stars. Halafu ni kwanini TFF katika kila jambo la Michezo la nchii hii lazima watangulize ' Uyanga Uyanga? ' Ndiyo maana ' Litimu ' lenyewe halifanyi vyema na Hans akiwa kweli Kocha wa Stars nitakuwa wa Kwanza ' kuihujumu ' ifungwe katika kila mechi. Tumechoka na huu ' ujinga + upumbavu ' unaokithiri katika Mpira wa nchi hii.
Kaa nyumbani
 
Mkuu.....umenichekesha sana...
Acha kuahidi yaliyo nje ya uwezo wako.
 
Huyo Hans aende zake tunataka kocha mpya kijana mwenye mbinu mpya na za kisasa
 
Tuondolee huu ' upuuzi ' tafadhali. Bado hajafikia hadhi ya kuwa Kocha wa Taifa Stars. Halafu ni kwanini TFF katika kila jambo la Michezo la nchii hii lazima watangulize ' Uyanga Uyanga? ' Ndiyo maana ' Litimu ' lenyewe halifanyi vyema na Hans akiwa kweli Kocha wa Stars nitakuwa wa Kwanza ' kuihujumu ' ifungwe katika kila mechi. Tumechoka na huu ' ujinga + upumbavu ' unaokithiri katika Mpira wa nchi hii.
Mbumbumbu FC...
 
Back
Top Bottom