Wamesahau walifanya umafia kumpata. Kapombe aliwaacha viongozi wa Azam wanasubiri akaenda ku sign Simba.ZHP Alibugi usajili huo hapo anamtafuta mchawi wa kumuangushia lawama na mashabiki wa mikia walivyotutusa nao wataanza kumlaumu Kapombe
Alafu Azam walijua kuwa uyo Kapombe ni pancha maaana waliangaika kumpeleka South Africa sana kwa matibabu ndo mana walimuacha tu aendeWamesahau walifanya umafia kumpata. Kapombe aliwaacha viongozi wa Azam wanasubiri akaenda ku sign Simba.
Azam watakuwa wanacheeeeka kwa dharau!
Hata Boko ni hayo hayo.Alafu Azam walijua kuwa uyo Kapombe ni pancha maaana waliangaika kumpeleka South Africa sana kwa matibabu ndo mana walimuacha tu aende
Alikula zile ulizochangia weweThis is Simba bhana.
Kwani katika zile 1.3 billion Kapombe alikula ngapi?
Unawashwawashwa nini na mchezaji wa Simba?Wamesahau walifanya umafia kumpata. Kapombe aliwaacha viongozi wa Azam wanasubiri akaenda ku sign Simba.
Azam watakuwa wanacheeeeka kwa dharau!
Tambwe sio pancha? Ngoma jeHata Boko ni hayo hayo.