Hans pope amcharukia Kapombe asema hawatomlipa mshahara mchezaji huyo .

Hans pope amcharukia Kapombe asema hawatomlipa mshahara mchezaji huyo .

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Shomari ni muoga tu hatuwezi kuvumilia kumlipa bure mshahara, anatakiwa kucheza sivyo tutamuacha... vipimo vinaonesha mzima "

Kauli ya mwenyekiti wa usajili Simba SC ndugu Hans Pope juu ya majeraha ya muda mrefu ya beki wa kulia wa timu hiyo Shomari Kapombe.



9faeddc7994a5b2fda2af2f0a3511621.jpg
 
Mkia FC mmeanza ujima. hivi kuna mchezaji anaweza akakataa kucheza kisa anaogopa? Tena ktk kikosi chenye ushindan kama Simba eti uwe mzima na ukatae kucheza inaleta maana kweli?

Watani endesheni klabu yenu kwa ueledi, achaneni na uhuni wa mchangani ambako nako uhuni umepungua baada ya kuletewa ndondo cup na Shafii. Nani hakujua Kapombe ni spana mkononi wakati anasajiliwa?
 
ZHP Alibugi usajili huo hapo anamtafuta mchawi wa kumuangushia lawama na mashabiki wa mikia walivyotutusa nao wataanza kumlaumu Kapombe
Wamesahau walifanya umafia kumpata. Kapombe aliwaacha viongozi wa Azam wanasubiri akaenda ku sign Simba.
Azam watakuwa wanacheeeeka kwa dharau!
 
Wamesahau walifanya umafia kumpata. Kapombe aliwaacha viongozi wa Azam wanasubiri akaenda ku sign Simba.
Azam watakuwa wanacheeeeka kwa dharau!
Alafu Azam walijua kuwa uyo Kapombe ni pancha maaana waliangaika kumpeleka South Africa sana kwa matibabu ndo mana walimuacha tu aende
 
ifike mahali hawa viongozi wafanye mambo kitaalamu waache kukurupuka. kabla ya kumsajili kapombe walishindwa nini kwenda kumpima afya yake? kwanza hanspope ana bahati sana alitaka kumsajili na Ngoma wa yanga leo angekuwa analia mara mbili. Naifikiri ni wakati sasa mohamed dewji achukue timu halafu aajiri wataalamu wa kuscout wachezaji na usajili ufanyike mwaka mzima sio kusubiri dirisha dogo matokeo yake ndiyo hayo ya kusajili spana mkononi. Dirisha linapofunguliwa inakuwa ni suala la kusainisha tu mikataba. Hanspope hatakiwi kujivua lawama inabidi yeye na wenzake wabebe msalaba huo wasitupe lawama kwa Kapombe. Kwa timu kubwa simba na yanga zinatakiwa mwezi mmoja kabla ya dirisha kufunguliwa wawe na orodha ya wachezaji wanaotegemea kuwasajili na wawe wameshawasainisha mikataba ya awali pia wawe na listi mbadala iwapo watawakosa wachezaji hao wanategemea kuwasajili.
 
Huyu mzee mbona anashangaza! Iweje aanze kumchukia mgonjwa wake? Mbona ndo zake hizo, kuna mwaka alimsajili Rafael Kiongera akiwa na pancha kibao! Hata Ngoma alitaka kumsajili, anapupa sana Hans Pop wakati wa usajili!
 
Mimi ni simba lialia lakini Hapo Pope umechemka huna busara. Hayo ni mambo ya ndani. Km unamadaraka nenda kaongee na dr wa kapombe na kapombe mwenyewe. Sio kupayuka kwenye media kesho kapombe kijijini kwenye media je utmvumilia. Viongozi wa simba jitazameni
 
Mikia fc bhana hapo bado wanaongoza ligi siku mkiachwa point itakuwaje maana Malinzi wa mkutupia zigo hayupo
 
Siku mkimfukuza hiyo kimeo labda mnaweza ambulia ubingwa
 
Amemwonankapombe na boko jee

Ama kagoma toa tenaaaaaaaacent
 
Wamesahau walifanya umafia kumpata. Kapombe aliwaacha viongozi wa Azam wanasubiri akaenda ku sign Simba.
Azam watakuwa wanacheeeeka kwa dharau!
Unawashwawashwa nini na mchezaji wa Simba?
 
Kapombe umeingia cha Kike. Angalia Majeruhi wenzio wa Azam (shaban Idd na Kimwaga) Tunavyo wa treat baada ya Kutoka South kwa Matibabu. ha ha ha haaaaaaa
 
Back
Top Bottom