NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Hakuna umafia wa aina yoyote kwenye mpira ambao Marehemu Hans Pope hakuwahi kuufanya.
Kuanzia Usajili,fitina za ubingwa na kucheza dabi.Jamaa alijitoa sana kwa mali zake na muda wake hakutaka masihara Simba....
Kuna taarifa za uhakika kuwa kifo chake kuna timu moja ilifurahia sana...
Kwasasa tunae Mangungu ana rekodi ya kuwa mwenyekiti wa Simba ambae amepoteza dabi nyingi nafikiri anamzidi marehemu Juma Salum...
Mangungu endelea kututesa!!!
Hans Pope tunakukumbuka daima!