Hans Poppe apeleka barua TFF ili aizinishwe kuwa msemaji wa Simba

Hans Poppe apeleka barua TFF ili aizinishwe kuwa msemaji wa Simba

bujashi25

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2013
Posts
623
Reaction score
112
kuna tetesi kuwa mwenyekiti wa usajili wa club ya simba(mikia) fc amepeleka barua TFF  ili aweze kuidhinishwa kuwa msemaji wa club hiyo ili aweze kuwa huru zaidi kuongelea mambo yanayoihusu club yake hiyo na ikibidi naya club zingine hususan YANGA..sasa binafsi najiuliza hivi msemaji wa club ya mambumbumbu fc(mikia fc) ni nani? na iweje aingiliwe majukumu yake? ama hatimizi wajibu wake kama ilivyokusudiwa au ndo ubepari wa huyu jamaa mweupe mweupe mhaini? au ndani ya club ya mabonanza fc katiba ya club inamruhusu kufanya hivyo?? wakuu hebu tujadili hili ni sahihi kwa huyu jamaa kuwa msemaji wa club na wakati huohuo ni mwenyekiti wa usajili wa hiyo timu na je mgawanyo wa madaraka wa vipongozi katika timu upoje ndani ya club au ndo kusema kunawatu wachache wenye nguvu na sauti ya kuamua na kuongelea mambo ya timu pasipokuwa na mipaka yoyote?..Nawasilisha
 
Wewe umesema amepeleka barua TFF kuomba.

Kumbe TFF hua wanaidhinisha wasemaji?

Basi tusubiri wamuidhinishe ndio tujadili hayo maswali yako mengine

Kwa sasa maswali yako hayana msingi
 
Ata kama si kweli hivi ni kwa nini huyu bwana kila kukicha anazungumza yeye mambo ya club na wakati hana sifa za kugombea nafasi yoyote kwenye club.
 
Wewe umesema amepeleka barua TFF kuomba.

Kumbe TFF hua wanaidhinisha wasemaji?

Basi tusubiri wamuidhinishe ndio tujadili hayo maswali yako mengine

Kwa sasa maswali yako hayana msingi
chanzo: shaffihdauda
 
Mleta mada unaongea upuuzi badala ya kujenga hoja. Acha kutukana wazee wa watu
 
Back
Top Bottom