OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Unajua Omog ana misimu mingapi,kila msimu fowadi butu. Msimu huu kaletewa wachezaji anaowataka tena ni wazuri,ameshindwa kuwaunganisha. Anawapiga madogo bench kwa husda na roho mbaya yake. AkwedreeeeeeMpeni nafasi zaidi, ligi ndio inaanza.
Ni kushindwa kuelewa,watu wanazungumka kutokana kutazama michezo ya timu. Zote Simba na Yanga zinaongoza kutokana na kukutana na timu mbovu zaidi yao. Lakini wataenda kufanya nini kimataifa. Zingatia Simba imetumia mabilioni kusajiri,japo mpira in mchezo lakini huwezi kuilinganisha na kinachofanyika uwanjaniTimu hizi za SIMBA NA YANGA zitaishia hivyo hivyo kwa mambo yasiyona maana...hivi TIMU INAONGOZA LIGI..imecheza mechi 5....imeshinda 3.....ime draw 2....Bado timu mbovu?timu hizi hazitoendelea kamwe hadi hao WAZEE wanaojiita MAKOMANDOO wa timu waondoke....timu ilihangaika miaka 4 haijashiriki Mashindano ya kimataifa....lakini OMOG kafanikiwa hilo na badala ya mwaka huu kuelekeza nguvu za ubingwa mnaanza zengwe.....
Ni lini kipimo cha uwezo wa timu kinafanywa na RAMLI?yaani timu inaongoza. .useme haifanyi vzr...labda ulitaka ishinde SIMBA 23 mtibwa 0 au mlitakaje? Hivi miaka yote timu haimalizi misimu miwili lazima kocha mpya. ...au nambiye ni lini timu ilikuwa na kocha MZURI ? zaidi ya kufukuzwa tu....tubadilike...hapo viongozi wana wachezaji wao hawapangwi...Ni kushindwa kuelewa,watu wanazungumka kutokana kutazama michezo ya timu. Zote Simba na Yanga zinaongoza kutokana na kukutana na timu mbovu zaidi yao. Lakini wataenda kufanya nini kimataifa. Zingatia Simba imetumia mabilioni kusajiri,japo mpira in mchezo lakini huwezi kuilinganisha na kinachofanyika uwanjani