Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mo atatoa hela katika zile Billion 20 wajanja wale cha juuWatu wanataka kupiga ten percent ya kocha mpya.
Uzuri au ukweli uliopo. Kocha ni mbovu timu haina muunganiko
Hebu nipe matokeo uwanjani leo hapo na Mtibwa.
Tuna kikosi cha gharama.. Toa matokeo ya gharama hizo mpaka sasa mkuu
Ni moja ya options katika kusuluhisha tatizo, au hujui??kama haijawa na muunganiko mzuri kubadilisha kocha ndio suluhisho la kudumu?
Hicho sio kigezo cha kutokubadilisha kocha. Unaweza kuwa CEO wa kampuni na ukaifanikisha sana mpaka ikanunuliwa na kampuni nyingine, then kwa level iliyopo kampuni ukaonekana huna tena uwezo wa kwenda juu ya hapo. Hiyo ni kawaida sana.Timu hizi za SIMBA NA YANGA zitaishia hivyo hivyo kwa mambo yasiyona maana...hivi TIMU INAONGOZA LIGI..imecheza mechi 5....imeshinda 3.....ime draw 2....Bado timu mbovu?timu hizi hazitoendelea kamwe hadi hao WAZEE wanaojiita MAKOMANDOO wa timu waondoke....timu ilihangaika miaka 4 haijashiriki Mashindano ya kimataifa....lakini OMOG kafanikiwa hilo na badala ya mwaka huu kuelekeza nguvu za ubingwa mnaanza zengwe.....
milovanKopunovic au Milovan ndio makocha wanaopaswa kuifundisha Simba hii. Huyu hana mbinu nyingi.
Hivi kwani nani anaongoza ligi?Hicho sio kigezo cha kutokubadilisha kocha. Unaweza kuwa CEO wa kampuni na ukaifanikisha sana mpaka ikanunuliwa na kampuni nyingine, then kwa level iliyopo kampuni ukaonekana huna tena uwezo wa kwenda juu ya hapo. Hiyo ni kawaida sana.
Target inatakiwa kuwa bingwa sio kuongoza ligi, mwaka jana tuliongoza ligi kwa mbali sana lakini hatukuwa mabingwa. Simba wanaunderperform given the investment ya wachezaji msimu huu na huo ni ukweli usiobishaniwa kwa wanaojua footwork.Hivi kwani nani anaongoza ligi?