Hans Raphael: Yanga bado ni bora sana kuliko Simba SC

Hans Raphael: Yanga bado ni bora sana kuliko Simba SC

“Yanga SC wamekuwa bora zaidi ya Simba SC hawawafungi wapinzani kwa bahati mbaya. This time Simba SC wataingia kutaka kuondoa uteja na uwezo huo wanao. Katika mechi 13 zilizopita Simba SC kashinda mechi mbili tu"
.
"Ukitazama katika makaratasi Yanga SC wana timu nzuri kuliko Simba SC, lakini hii ni Derby ambayo huwa ina mambo mengi ndani yake, lakini mechi itaamuliwa katikati ya uwanja"
.
HANS RAPHAEL,Mchambuzi CROWN FMView attachment 3127499

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
kuna watu huu uzi wanausoma kama wanaaga mwili
 
Tecno haifai
Mkuu natumia Tecno ya bei ghali sana

Tecno camon 39 pro 5G
hii nadhani ni zaidi ya thamani ya nyumba yako
Screenshot_20241017-141350.jpg


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hata kikosi kilichocheza ngao ya jamii pia hakikuwa na magoli mengi na waliofungwa walishangilia kufungwa goli chache kama ilivyokuwa Kengold. Inawezekana team hizi mbili zinafanana uwezo
Tuwekee kikosi kilichocheza na KenGold ya Chunya tuone ni nani alikosekana hapo hadi hali ikawa tete
 
Back
Top Bottom