Hanscana music video director "wa moto" zaidi Nchini

Sasa unataka nikutajie video inayokaa level moja na kina kampos, kwanini usiseme nikutajie video ya Hanscana inayokaa level moja na wenzie kina AJ, Kenny, Ivan na wengine wa bongo[emoji28][emoji28], mimi nimesema Hanscana ni GOAT kwa hapa bongo sijaongelea Mambo ya South, hata kama hajafikia ubora wa 100% sawa na hao wasouth ila still video zake ni bora, ndio maana tunaona wasanii wakubwa kama kina Eddy Kenzo wanavuka boda kuja kufanya naye kazi
 
Kingine nilichomkubali Hanscana, hata kipindi hapewi kazi na WCB bado hakutetereka, still aliendelea kwenda sawa na Kenny aliyekuwa na advantage ya kufanya kazi na Diamond na wasanii wote wa WCB. Nataka nimuone Kenny kama ataendelea kusurvive kwenye industry kama alivyofanya Hanscana alipokuwa akifanya kazi na wasanii wengine
 
Kwenye bia tamu waliharibu kwa kuweka brand ya bia. Wangetumia glass ingemsaidia mario
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kuna content qualification na vision quality jomba.
 

🤣🤣🤣 sasa bro wewe si ulisema jamaa kawarudisha wasanii bongo kwa ubora wa video zake, haina tofauti na kusema jamaa kafikia level zao hadi wasanii wakaona kule nje wanapoteza hela tu.. Haina mbaya tumeelewana kiutu uzima 😅
 
Huyo linex alipewa kitu anachostahili kwa pesa yake japo haikuwa nzuri kwa brand ya Adam. Ila hata leo Adam akifanya kazi zake bado unaona bado ana ule ukubwa wake mfano videos kama za Mariioo "unanikosha, inatosha, for you". Unaona bado akiamua kurudi ile fully space yake bado ipo

Kwa hanscana, consistence yake nzuri ila videos zake haswa za indoor na sehemu za starehe nyingi bado zinafanana hasa display ya lights na flow ya video. Tumpe muda zaidi kustahili GOAT ila kwa sasa hata kwa Adam bado anapwaya
 
Kwenye bia tamu waliharibu kwa kuweka brand ya bia. Wangetumia glass ingemsaidia mario
Ile brand kukaa pale ni hela, windhoek wametoa pesa kiti ambacho ni kizuri kurudisha gharama za production
 
Huyu jamaa hampendi hanscana tu sio bure eti upepo umempitia, upepo gani unakaribia 7 years?

Hanscana alikuwa anazurura na mondi akienda South anachukuliwa akajifunze hanscana sio wa mchezo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…