screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Sasa unataka nikutajie video inayokaa level moja na kina kampos, kwanini usiseme nikutajie video ya Hanscana inayokaa level moja na wenzie kina AJ, Kenny, Ivan na wengine wa bongo[emoji28][emoji28], mimi nimesema Hanscana ni GOAT kwa hapa bongo sijaongelea Mambo ya South, hata kama hajafikia ubora wa 100% sawa na hao wasouth ila still video zake ni bora, ndio maana tunaona wasanii wakubwa kama kina Eddy Kenzo wanavuka boda kuja kufanya naye kaziSitaki unitajie nyingi, nitajie hata moja ambayo inaweza kucheza ligi moja na hiyo FEEL GOOD YA NAVY KENZO
Kuhusu vifaa ni fact inayojulikana ila hiyo ya kusema directors wa ndani especially hanscana aliwarudisha. Sioni kama ni strong reason na hata leo, ile Era ya SA ilitoa video kubwa na zilizopata rotation kwenye international platforms kuliko sasa ambapo tunategemea "trace muziki" Ambayo ni special kwa muziki wa EAST AFRICA
Kwa hiyo mimi naamini ile ilikuwa ni golden era kwa Bongo music videos ndio maana nikakuomba unitajie video moja tu.. Inayokaa level moja na hizo za Justin campos wa SA