Hanson's choice imezipiga chini k-vant na konyagi

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Wakuu Leo weekend yangu ya pili nakunywa haka ka kitu mulua kabisa Cha ajabu asubuhi ipo poa sana na nimeona wakuu hapa wanaagiza kama zote vile .

K-vant na konyagi zimepigwa teke kitaa watu na Hanson's choice tu na mzigo unakula kama umefungwa injini mpya hii kitu ijengewe manara pale ihumwa

USSR
 
Lipia tangazo Alf weka picha[emoji41][emoji41]
 
inafaa kuchanganya?
 
Ilishindikana kujenga mnara wa kutunza regasse ije kuwa mnara wa hanchoice?
 
Jaribu Double kick, huo mnara utaenda kuujenga mwenyewe kabisa😁

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…