Hanspope amezidi kutuonyesha safari ndefu tuliyonayo

Nyandajr10

New Member
Joined
Nov 5, 2020
Posts
2
Reaction score
5
Na Brayan Nyanda

Baada ya mechi ya watani wa jadi iliyochezwa jana kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa na kumalizika kwa sare ya goli 1-1

Aliibuka mmoja wa wajumbe wa bodi ya wakurugenzi ya simba na mwenyekit wa zamani wa kamati ya usajili Simba Zachariah Hanspope na kuwatuhumu baadhi ya wachezaji mahiri kwenye Kikosi hicho kucheza chini ya kiwango
Hanspope aliwataja Chama, Miquisone na Bwalya kucheza chini ya viwango vyao

🔧Kawaida tumezoea kuona kauli Kama hizi zikitolewa na Mashabiki wa kawaida na sio viongozi wenye ushawishi Kama Hanspope
Kauli hii aliyotoa Hanspope bila kujua Kama ni ukweli ama sio ukweli hakukua na haja ya yeye kuizungumza kwenye media

🔧Kiongozi Kama yeye kuzungumza kauli Kama hii kuna athari za moja kwa moja ambazo zinaweza kutokea moja kutengeneza pressure kubwa Sana kwa wachezaji na kuwafanya washindwe kucheza vizuri hata kwenye mechi zijazo na mbaya zaidi kauli hii inaweza kuwatengenezea wachezaji chuki kwa Mashabiki na kuyafanya maisha yao kuwa hatarini

🔧Pia kauli itawaimarisha zaidi wapinzani wake na wanaweza wakatumia mwanya huu kufanya hujuma na kuzidi kuibomoa Simba

📍Mwisho kabisa Hanspope amekuwa mtu anaeshindwa kuheshimu wapinzani wake akiamini zaidi simba wana timu imara ambayo ni lazima wapate points 3 kwenye Kila mchezo

📍Binafsi naona ni Vyema viongozi Waache kutoa kauli Kama hizi kwani hazina afya yoyote kwa maendeleo ya mpira wetu
 
Attachments

  • IMG_20200824_093919.jpg
    IMG_20200824_093919.jpg
    20.7 KB · Views: 2
Ndio tatizo la kuwa na ceo anayeletwa na mtu mwenye maslahi hapo hawezi kupingana na waajili wake
 
Na Brayan Nyanda

Baada ya mechi ya watani wa jadi iliyochezwa jana kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa na kumalizika kwa sare ya goli 1-1

Aliibuka mmoja wa wajumbe wa bodi ya wakurugenzi ya simba na mwenyekit wa zamani wa kamati ya usajili Simba Zachariah Hanspope na kuwatuhumu baadhi ya wachezaji mahiri kwenye Kikosi hicho kucheza chini ya kiwango
Hanspope aliwataja Chama, Miquisone na Bwalya kucheza chini ya viwango vyao

🔧Kawaida tumezoea kuona kauli Kama hizi zikitolewa na Mashabiki wa kawaida na sio viongozi wenye ushawishi Kama Hanspope
Kauli hii aliyotoa Hanspope bila kujua Kama ni ukweli ama sio ukweli hakukua na haja ya yeye kuizungumza kwenye media

🔧Kiongozi Kama yeye kuzungumza kauli Kama hii kuna athari za moja kwa moja ambazo zinaweza kutokea moja kutengeneza pressure kubwa Sana kwa wachezaji na kuwafanya washindwe kucheza vizuri hata kwenye mechi zijazo na mbaya zaidi kauli hii inaweza kuwatengenezea wachezaji chuki kwa Mashabiki na kuyafanya maisha yao kuwa hatarini

🔧Pia kauli itawaimarisha zaidi wapinzani wake na wanaweza wakatumia mwanya huu kufanya hujuma na kuzidi kuibomoa Simba

📍Mwisho kabisa Hanspope amekuwa mtu anaeshindwa kuheshimu wapinzani wake akiamini zaidi simba wana timu imara ambayo ni lazima wapate points 3 kwenye Kila mchezo

📍Binafsi naona ni Vyema viongozi Waache kutoa kauli Kama hizi kwani hazina afya yoyote kwa maendeleo ya mpira wetu
Sawa Amri Kiemba
 
Jana CEO wa Simba Na baadhi ya Wajumbe wa Bodi wote waliondoka kabla ya goli la kusawazisha...Yawezekana Hanspoppe ana mapungufu ila namsifu hata kwa kukaa mpaka mwisho..Viongozi wa Simba mnakimbia vita sasa sijui mlishangilia goli lilipoingia??? Ongozeni vita mpaka mwisho sio mnakimbia dakika za lala salama kisa mmefungwa..Kile ni kitendo cha aibu sana mlichofanya.
 
Jana CEO wa Simba Na baadhi ya Wajumbe wa Bodi wote waliondoka kabla ya goli la kusawazisha...Yawezekana Hanspoppe ana mapungufu ila namsifu hata kwa kukaa mpaka mwisho..Viongozi wa Simba mnakimbia vita sasa sijui mlishangilia goli lilipoingia??? Ongozeni vita mpaka mwisho sio mnakimbia dakika za lala salama kisa mmefungwa...
Ni wapumbavu kama waliondoka kabla ya goli kufungwa walitakiwa wakae hadi mwisho
 
Hisia zinadanganya sana hao watu ndio wanataka Mo aweke pesa waanze kutafuna mapema
 
Hans pope ni zz flani hivi na amekuwa Mropokaji sana.
Kwanza hajui kabisa mpira na hana El8mu ya Mpira.

Onyango
Wawa.
Boko.
Bwalya ndio waliozingua sana jana.

SIMBA WAPUUZI WALIONA HERI KUMSAJILI MZEE ONYANGO NA KUMTEMA LAMINE MORO.

HAJUI MABEKI WA SIMBA NDIO TATIZO KUBWA SANA.

PMBV....
 
Back
Top Bottom