Hansrafael: Barua ya Simba Ina ukakasi soma hapa

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Mchambuzi wa Soka, Hans Rafael amesema kuwa barua ya klabu ya Simba ya kutangaza kutoshiriki mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Yanga imeacha maswali mengi kwenye maeneo kadhaa.

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram, Hans Raphael ameandika kuwa "Nimesoma vizuri barua ya Simba Ila kuna şehemu Kama mbili wameniacha njia panda.

1. “Katika Sintofahamu hiyo, Simba iliarifiwa na Meneja wa Uwanja kuwa hana maelekezo ya kuruhusu mazoezi kufanyika bila maelekezo ya kamishna wa Mchezo”

Kupitia huu mstari ni wazi Simba hawajazuiliwa na mabaunsa kuingia uwanjani bali wamezuiliwa na meneja wa uwanja kwani ndie mwenye mamlaka na funguo Za kuruhusu watu waingie uwanuani.

2. “Mabaunsa wa Klabu ya Yanga walivamia Msafara wa Simba huku wakiendelea na vurugu na wakizua Msafara wa simba kuingia uwanjani kufanya mazoezi”

Kwenye mstari mwingine Simba wameandika juu ya Mabaunsa wa Yanga,binafsi hapa wameniacha njia panda,najiuliza Wamejuaje kama wale ni Baunsa wa Yanga? Mbaya zaidi kwenye lile eneo hakukuwa na kiongozi yeyote wa Yanga Sasa wao wamejuaje kama wale ni Baunsa Wa Yanga? Au walikuwa na jezi au vitambulisho vya Yanga?maana viongozi wote wa Yanga wamesajiliwa TFF hakuna sehemu Yanga wamesajili Baunsa.

Lakini pia Barua ya Simba inasema Baunsa wa Yanga wameizuia timu kuingia ndani,ila ukiangalia video za lile tukio Baunsa walikuwa nje ya uwanja,ina maana na wao hawakuwa na mamlaka ya kuingia ndani kwani meneja Wa uwanja alitia Rock,pia tujiulize swali Mabaunsa ambao walikuwa nje wanaweza vipi kumzuia mtu asiingie ndani wakati uwanja umefungwa?

Hii barua ya Simba ina maswali mengi[emoji3578]".
1741417221035.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hii barua ya Simba ina maswali mengi[emoji3578]".View attachment 3263204

We jamaa subili makolo wenyewe waje wakupopoe na mawe.
 
It's simple kwani hao ma baunsa si wanajulikana? Watatafutwa wawekwe chini ya ulizni na wahojiwe wao wametumwa na nan kufanya hivyo na hapo ndo watajieleza sasa.

Kama ni mashabik na hawapo upande wowote means bodi na wenyej wa mchezo hawakutoa ushirikiano wa kiulinzi na kiusalama kwa timu mgeni na mchezo husika kiujumla na watachukuliwa hatua

Kama wametokea kwenye bodi au timu mwenyej bas hatua stahiki zitachukuliwa pia
 
Hivi kumbe Hance Rafael ana akili kuliko Jemadari+Jambia+Dauda combined?
 
It's simple kwani hao ma baunsa si wanajulikana? Watatafutwa wawekwe chini ya ulizni na wahojiwe wao wametumwa na nan kufanya hivyo na hapo ndo watajieleza sasa.

Kama ni mashabik na hawapo upande wowote means bodi na wenyej wa mchezo hawakutoa ushirikiano wa kiulinzi na kiusalama kwa timu mgeni na mchezo husika kiujumla na watachukuliwa hatua

Kama wametokea kwenye bodi au timu mwenyej bas hatua stahiki zitachukuliwa pia
Kwani uwanja wa taifa unalindwa na nani? Si kuna utaratibu wa kuutumia ule uwanja? Ungekua ni uwanja wa club ya yanga, mngesema yanga kahusika
 
It's simple kwani hao ma baunsa si wanajulikana? Watatafutwa wawekwe chini ya ulizni na wahojiwe wao wametumwa na nan kufanya hivyo na hapo ndo watajieleza sasa.

Kama ni mashabik na hawapo upande wowote means bodi na wenyej wa mchezo hawakutoa ushirikiano wa kiulinzi na kiusalama kwa timu mgeni na mchezo husika kiujumla na watachukuliwa hatua

Kama wametokea kwenye bodi au timu mwenyej bas hatua stahiki zitachukuliwa pia
Nan atafanya kazi hyo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hans lafaeli ni takataka tu aliyepata platform ya kuonesha ujinga wake
 
Kaongea pwenti, tusiendeshwe na mihemko, mfano mi nikija nikasema wale walikuwa mabaunsa wa Azam, au Kmc nani atabisha na ukiwa na fact gani?

By the way Yanga si mmiliki wa Uwanja ameomba tu kutumia na Wala hahusiki kweny usimamizi wa Uwanja.

Kama ni Mind game ntawaelewa, lakn kwa kususa mechi hapo wamepuyanga mzee

Kama walikuwa ni Simba wenyewe wanacheza mchezo ili Yanga ionekane ndo imekiuka kanuni,
 
Hawa jamaa wameingia bard kaliii so Kila kitu wanachozungumza ni mtetemo tu.
 
Dogo mjinga sana,ukakasi gani,hajui kanuni zinaruhusu timu mgeni kufanya mazoezi?
 
Mchambuzi wa Soka, Hans Rafael amesema kuwa barua ya klabu ya Simba ya kutangaza kutoshiriki mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Yanga imeacha maswali mengi kwenye maeneo kadhaa.

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram, Hans Raphael ameandika kuwa "Nimesoma vizuri barua ya Simba Ila kuna şehemu Kama mbili wameniacha njia panda.

1. “Katika Sintofahamu hiyo, Simba iliarifiwa na Meneja wa Uwanja kuwa hana maelekezo ya kuruhusu mazoezi kufanyika bila maelekezo ya kamishna wa Mchezo”

Kupitia huu mstari ni wazi Simba hawajazuiliwa na mabaunsa kuingia uwanjani bali wamezuiliwa na meneja wa uwanja kwani ndie mwenye mamlaka na funguo Za kuruhusu watu waingie uwanuani.

2. “Mabaunsa wa Klabu ya Yanga walivamia Msafara wa Simba huku wakiendelea na vurugu na wakizua Msafara wa simba kuingia uwanjani kufanya mazoezi”

Kwenye mstari mwingine Simba wameandika juu ya Mabaunsa wa Yanga,binafsi hapa wameniacha njia panda,najiuliza Wamejuaje kama wale ni Baunsa wa Yanga? Mbaya zaidi kwenye lile eneo hakukuwa na kiongozi yeyote wa Yanga Sasa wao wamejuaje kama wale ni Baunsa Wa Yanga? Au walikuwa na jezi au vitambulisho vya Yanga?maana viongozi wote wa Yanga wamesajiliwa TFF hakuna sehemu Yanga wamesajili Baunsa.

Lakini pia Barua ya Simba inasema Baunsa wa Yanga wameizuia timu kuingia ndani,ila ukiangalia video za lile tukio Baunsa walikuwa nje ya uwanja,ina maana na wao hawakuwa na mamlaka ya kuingia ndani kwani meneja Wa uwanja alitia Rock,pia tujiulize swali Mabaunsa ambao walikuwa nje wanaweza vipi kumzuia mtu asiingie ndani wakati uwanja umefungwa?

Hii barua ya Simba ina maswali mengi[emoji3578]".View attachment 3263204

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Lengo la simba ni kushusha mapato ya yanga nawaambia sumba watafika uwanjani
 
Na hiki wanachokifanya siyo kitendo cha busara hata kidogo. Sasa kama wanaume wanasusa, na akina mama nao wafanye nini!!
 
Back
Top Bottom