Hanstone aachia EP nje ya WCB.....aacha maswali mengi

Hakika afadhar awe anasimama mwenyew, sio kuaa chini ya mtu. Hongera yake sana.
 
Hahahaha kama ni kufanya biashara ya music basi hajui anachotaka... unapata bahati ya kusainiwa WCB then unazingua aangalie label zingine kina ibra sijui ki2ga mpaka leo wameshindwa kutoka
Acha kukariri maisha sio lazima kila mtu apite njia anayopita mwingine
 
nimeona mtu kapost twitter kwamba walezi wake waliona kijana wao anasubirishwa sana kuanza kazi wasafi wakaenda kumlalamikia mama yake Diamond jamaa akakasirika akamfukuza kabisa sasa na yeye timing mbovu kaenda kutoa hiyo mini Ep siku ambayo kiba anatoa kazi
 
Kwaiyo unataka kutuaminisha WCB tu ndio leo inayotoa wasanii? Au ili utoboe ki mzik lazima uwepo WCB?
Can you name the leading artists in Tanzania?, kama utayapata hayo majina basi utajua nini maana ya lebo ya WCB
 
Can you name the leading artists in Tanzania?, kama utayapata hayo majina basi utajua nini maana ya lebo ya WCB

acha upuuzi bana.

kwahiyo kuongoza huko kunafanya lebel nyingine siziwe lebel???
 
Can you name the leading artists in Tanzania?, kama utayapata hayo majina basi utajua nini maana ya lebo ya WCB
Uwe unaona aibu muda mwengine
Hiyo wcb kuwa kubwa haimaanishi kuwa lebel zingine zisiwepo.
 
Uwe unaona aibu muda mwengine
Hiyo wcb kuwa kubwa haimaanishi kuwa lebel zingine zisiwepo.
WCB ndo label yenye nguvu , kondegang ni kampuni tanzu Tu ya WCB, labda useme king music , Kwa sababu hyo WCB inakuwa ndo label mama
 
Uwe unaona aibu muda mwengine
Hiyo wcb kuwa kubwa haimaanishi kuwa lebel zingine zisiwepo.
Nazungumzia music lebo ambazo zipo active Ni WCB na Konde Gang ambao ni zao la, tofauti na hapo hakuna lebo nyingine inayoweza kusimamisha msanii na akawa juu kwenye Streaming na Mauzo,

Numbers don't lie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…