Hanstone atatoboa nje ya WCB?

Hanstone atatoboa nje ya WCB?

Angeweka uvumilivu wasanii wengi wanataman wawepo wcb kule wanajua fitina
Unavumiliaje miaka 100 sasa hadi tushamsahau hizo siyo fitna ni uchawi...unachukua kipaji unakificha ndani unasikika wewe tu ni upuuzi
 
Ameona amekaa miaka mingi bado hawamtoi tu kimya ni sawa na zuchu alikaa miaka 6 ndipo akatoka na sasa hivi inasemekana zuchu ana miaka 32 kumbe nimesikia wanasema kumbe kamdada kakubwa tu
 
Mtoto wa Banza Stone.

Kaandika nyimbo kama
Iokote - Maua Sama
Nimekuzoea - Nandy
Sukari - Zuchu
Nk
Umekosea kwa nandy nimekuzoea kaandika mwenyewe nandy acha uwongo wewe alihojiwa na akasema tena walikuwa na producer wake
 
Huyu dogo anaimba sana, hii EP yake ngoma zote ni kali, sijaipenda moja tu ile kaiita Kiberenge.

Nafikiri akikaza atatoboa tu, hao WCB wanaanza kuwa sio relevant hivi karibunu.. So akichanga karata zake vizuri anaenda kuwa the next big thing Tanzania will ever see, anaimba sana mpaka anakera huyu bwana mdogo!

P.S Ni kama vile madogo wamekuja kuwafundisha kaka zao jinsi ya kuimba na sio zile kelele wanazotupigia wao wakidai ni nyimbo. Mfano yule Killy wa Harmonize, anaimba kinoma yule dogo... Ana ngoma inaitwa 'Mwisho' lile pini ni mwisho kweli! Mac Voice wa Rayvanny nmesikiliza EP yake nae anaimba kinoma, EP yake imenyooka kasoro ile Amapiano aliyoweka ni utumbo. Ibrah wa Harmonize ndo hata haina haja ya kusema mengi, huyu janja akitoa ngoma basi kaamua tu. Dogo MeshAmazing mshindi wa BSS 2020 ana ngoma yake nae ile ya kuitwa 'Nakufuata' ni kali mnoo... Pia kuna huyu wa kuitwa Lody Music anaimba kinoma, nilijua amebahatisha ile ngoma yake 'Kubali' ila amekuja kuachia 'Promise' aisee his future kwenye bongoflava industry is soo fvkn promising!
Hao wasanii wote wanalia Lia tu Hakuna Kitu ..
 
Kwa sabab muziki ni wa wcb sasa hivi, ukiwa nje ya hapo utoboi msidanganyane
Umeongea pumba wewe tena sijui wa wapi wewe???!!hivi unajua kuna wanamziki bongo matajiri mbaka kuwazidi hao wcb mfano navykenzo, nandy hata alikiba ingawa sipo kwenye hizo timu zenu nenda kawafatilie navykenzo uone maisha yao wewe kilaza
 
Unavumiliaje miaka 100 sasa hadi tushamsahau hizo siyo fitna ni uchawi...unachukua kipaji unakificha ndani unasikika wewe tu ni upuuzi
Hakuna kipaji kinachofichwa, Harmonize alikaa zaidi ya 4yrs ndiyo akawa signed officially na halikadhalika Zuchu alikaa about the same 4yrs lakini products zilitoka zikiwa zimeiva.
Nadhani mtu ambaye hakukaa muda mrefu ni Mbosso tu probably ni exposure aliyokuwa nayo Yamoto band pamoja na ushawishi wa Mkubwa Fella.
 
Umeongea pumba wewe tena sijui wa wapi wewe???!!hivi unajua kuna wanamziki bongo matajiri mbaka kuwazidi hao wcb mfano navykenzo, nandy hata alikiba ingawa sipo kwenye hizo timu zenu nenda kawafatilie navykenzo uone maisha yao wewe kilaza
Nandi na Ali Kiba wana pesa ya kula tu, acha uongo.
 
Huyu dogo anaimba sana, hii EP yake ngoma zote ni kali, sijaipenda moja tu ile kaiita Kiberenge.

Nafikiri akikaza atatoboa tu, hao WCB wanaanza kuwa sio relevant hivi karibunu.. So akichanga karata zake vizuri anaenda kuwa the next big thing Tanzania will ever see, anaimba sana mpaka anakera huyu bwana mdogo!

P.S Ni kama vile madogo wamekuja kuwafundisha kaka zao jinsi ya kuimba na sio zile kelele wanazotupigia wao wakidai ni nyimbo. Mfano yule Killy wa Harmonize, anaimba kinoma yule dogo... Ana ngoma inaitwa 'Mwisho' lile pini ni mwisho kweli! Mac Voice wa Rayvanny nmesikiliza EP yake nae anaimba kinoma, EP yake imenyooka kasoro ile Amapiano aliyoweka ni utumbo. Ibrah wa Harmonize ndo hata haina haja ya kusema mengi, huyu janja akitoa ngoma basi kaamua tu. Dogo MeshAmazing mshindi wa BSS 2020 ana ngoma yake nae ile ya kuitwa 'Nakufuata' ni kali mnoo... Pia kuna huyu wa kuitwa Lody Music anaimba kinoma, nilijua amebahatisha ile ngoma yake 'Kubali' ila amekuja kuachia 'Promise' aisee his future kwenye bongoflava industry is soo fvkn promising!
Promise nyimbo kubwa sana asee haijapata airtime tu.
 
Hakuna kipaji kinachofichwa, Harmonize alikaa zaidi ya 4yrs ndiyo akawa signed officially na halikadhalika Zuchu alikaa about the same 4yrs lakini products zilitoka zikiwa zimeiva.
Nadhani mtu ambaye hakukaa muda mrefu ni Mbosso tu probably ni exposure aliyokuwa nayo Yamoto band pamoja na ushawishi wa Mkubwa Fella.

miaka 4 unasubiri nini kumsaimisha mtu!!!!

kufubaza morali za watu tu.
 
Angeimba tu kama baba yake. Hii style anayotumia ya kubana pua imechosha.
 
View attachment 1974689
Kwanza lazima tukubaliane huyu dogo ana kipaji kikubwa sana.

Ndio maana wengi walikuwa wanasubiri ujio wake akiwa chini ya WCB. Na ilitegemewa ujio wake ungekuwa na kishindo.
Lakini bahati mbaya amezinguana na uongozi wa Wasafi na baada ya hapo akaachia ep yake ya Amazing.

EP yake japo imeachiwa kwa kukurupuka akiwa kwenye hasira lakini nyimbo zake zote ni pipi.
Watu bado wanatazama upepo wa stone bway utafikia wapi.

Je ataweza kutoboa nje ya WCB?
Hiyo ndiyo hasa shida ya sisi wakulungwa wa hapa bongo. Mtu akikaa kimya mnamzodoa kuwa anavuta bangi na unga mitaani, hoo mara anakibuli na mambo kibao tu. Akitoa kazi mnaanza kutaka aitolee chini ya WCB. Asitoboe kwa misingi ipi, mkuu kila mtu ana rizik yake kama kampangia kutoboa kwa kufanya mishe zake atatoboa tu. Kwani huyo Diamond alivyotoboa aliikuta wcb. Achani kuona kuwa bila wcb ndiyo msanii hatovuma
 
View attachment 1974689
Kwanza lazima tukubaliane huyu dogo ana kipaji kikubwa sana.

Ndio maana wengi walikuwa wanasubiri ujio wake akiwa chini ya WCB. Na ilitegemewa ujio wake ungekuwa na kishindo.
Lakini bahati mbaya amezinguana na uongozi wa Wasafi na baada ya hapo akaachia ep yake ya Amazing.

EP yake japo imeachiwa kwa kukurupuka akiwa kwenye hasira lakini nyimbo zake zote ni pipi.
Watu bado wanatazama upepo wa stone bway utafikia wapi.

Je ataweza kutoboa nje ya WCB?
Ataweza. Akaze tu asikate tamaa.
 
Back
Top Bottom