Hanstone kinachomkwamisha ni kiburi au wanamsingizia na kumuonea?

Kuwa na fikra huru kisha urudi hapa tuzungumze.
 
Mwenye maisha mazuri ni yupi ??

Au unaongelea maisha ya Instagram ??

Mavoko, Kifesi, Qboy, Mwarabu wote hao wamefanya kazi hapo na walikuwa wana maisha mazuri sana Instagram 🤣🤣🤣
basi tufanye hawana maisha ni choka mbaya na huwa wanakuja kula kwenu na kuendesha gari za kuazima, hata hizo nyumba walizojengea wazazi wao mfano mboso pamoja na kununulia gari uliwafadhili. Lakin recording label anayoianzisha rayvanny pia umemfadhili ili kumfichia haibu. WCB ndiyo label ambayo msanii yoyote yule anatamani kusainiwa. Huyo kiface maisha yake mabaya ni yapi? Mtu katoka pale bila kufukuzwa kaenda kuanzisha kampuni yake bado kwako ana maisha magumu? Mwarabu fighter sasa ivi ana kampuni yake pia anakodisha mabaunsa kwenye matukio mbalimbali kwako ana maisha mabaya. Q boy mpaka kesho analilia kurudishwa wasafi kwani njee ya wasafi maisha kwake yamekuwa pangu pakavu tia mchuzi nipapase kwako utasema alikuwa ananyonywa? Watu wanatimiza ndoto zao pale wcb ww kalia ujinga na porojo za kinafiki huko vijiweni
 
Una miaka mingapi mkuu??

Jiweke mbali na Instagram kidogo akili yako ikurudie urudi katika hali ya kawaida.

Hao wasanii huwajui zaidi ya kuwaona Instagram.

Labda nikwambie kitu, hao Wasafi kabla hawahama Sinza nimeenda sana pale. Kuna msanii ( simtaji ) nilikuwa nampeleka kwa bodaboda. Enzi hizo huyo Qboy bado yupo hapo na alikuwa anavimba balaa. Achana na sasa hivi hata kula shida mpaka anatamani arudi awe anapata hata makombo hapo.

Mengine unayoyaona mitandaoni kuhusu wasanii, tumia na akili yako.

Ingia YouTube, check msanii anaitwa Peace Amorre ( huyo ameimba sana Twanga Pepeta na ni mdogo wake Asha Baraka ) tunakaa kaya moja.

Wasanii wa bongo ni wasanii haswaaaaa.
 
mm siangalii maisha ya instagram, ni miaka mingapi imepita toka ofisi zihamishwe Sinza.? Hivyo basi itoshe kusema kuwa mbali na maisha ya instagram lakini mafanikio pia wanayo namba hazidanganyi.! Labda tunatofautiana katika kipimo cha mafanikio tu na nisijue mwenzangu unatumia kipimo gani.
 
mbona wana maisha mazuri tu kuliko hizo labels nyingine hapa bongo.
Lavalava anaishi masaki kwa mshikaji wetu Hana maisha yoyote.


Huyo Rayvanvy alikuwa kapanga tabata ghorofa kashindwa kulipa.


Mboso anaishi Mbweni kapanga ghorofa.


By the way wana maisha kwa level ya mtanzania ni mazuri kiasi. Ila hayaendani n majina Yao.
 
kwahiyo wasanii wa label gani tofauti na wcb Wana maisha yanayoendana na label zao?
 
Hahahaha dogo hao wasanii tunawafahamu a-z ngoja tukae kimya kulinda heshima zao.


Mwambieni Lavala aache kutombeir madem studio za masaki anapoishi.
 
Hao wamezoea kuwaona Hawa wasanii kwenye tv na Instagram
Mkuu yaani hakuna kitu kinacho brainwash watu kama media.

Kuna msanii tunaishi naye yaani 🤣 ukimwona kwenye media au instagram unaweza kudhani kashuka jana kutoka kwa Trump.

Ila jamaa ana hali ngumu anaishi kwa kutembeza nguo za watoto ( anapoint Karume ).

Kabla Magu hajaingia madarakani, alikuwa anaimba kwenye mabendi ya usiku, Twanga Pepeta( Hawa wanaoimba Bar ) basi kila siku mshkaji alikuwa anachenji mademu 🤣🤣🤣🤣🤣.

Juzi tena kuna kisherehe kimetokea sehemu, akaja Msami ( kuna siku nilimwona EATV anadanganya watu kanunua gari mpaka akawa anaonesha kadi. WakativGari lenyewe alipewa na ndugu yake yuko South, alivyorudi akalichukua. Ikabidi ampore mama yake kigari fulani alikuwa nacho, hali ni tete.
 
Na hayo maisha wanaya maintain kwa kuendelea kuimba. Hakuna namna.

Akipumzika kuimba hata miezi 6 anakuwa na hali tete mnoooo.
 
Hahahaha dogo hao wasanii tunawafahamu a-z ngoja tukae kimya kulinda heshima zao.


Mwambieni Lavala aache kutombeir madem studio za masaki anapoishi.
sasa ulitaka atombee kwenu? Tatizo mnafel kulinganisha mafanikio ya hawa wasanii na njee huko? Ni kipindi kichache kimepita toka mziki kuanza kuwa na tija kwa wasanii wetu. Hivyo huna haja ya kudhalau angalau kwa kile kidogo alichonacho msanii ikiwa wakongwe tu hawana.
 
kwahiyo wasanii wa label gani tofauti na wcb Wana maisha yanayoendana na label zao?
Mkuu kwani hapa tunalinganisha label za Muziki ??

Mjadala hapa ni maslahi ya wasanii, bora hata kina Mutta wamewadhulumu kina Saida Karoli halafu wamekaa kimya.

Kuliko sasa hivi mtu kujifanya anakusaidia anakusaidia wakati UNAFIKI tu
 
Watu wako shamba huko wanawaona kwenye tv hawajui ukweli.

Wakina Moni Centrazone na Nuhu mziwanda wanashinda Kijitonyama Kama machokoraa ila ukiwaona Instagram utasema wanaishi ulaya.

Hawa wasanii nawajua na ninajichanganya nao ni wachache Sana wanayaishi Yale maisha ya kwenye mtandao
 
Na wewe ukaamini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…