Hanstone wa "Iokote" yupo wapi?

Hanstone wa "Iokote" yupo wapi?

moj6

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
3,354
Reaction score
4,985
Baada ya kufanya vizuri kwenye wimbo wa iokote alioshirikishwa na Maua Sama, huyu kijana yupo kimya sana.

Kinachonisikitisha zaidi kijana ana sauti nzuri na unique kama baba yake mzazi

Mlio karibu na huyu dogo tupeni update kinamsibu nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja wakati wake kurudi unakaribia, utamsikia wasafi ndie anaefata baada ya zuchu.

yule mtoto ni hatari sana kupotea kiholela vile [mawazo yangu yanavyonituma]
 
Yupo anachomeshwa Maindi pale Wcb, bajeti ya kumtoa kumfanyia Promo haipo,. Promo la Zuchu Limewatia hasara bora wangemtoa kimya kimya
"vaa nguo nzuri muda mwingine kuficha umasikini na ujinga wako"
 
nenda sinza kituo cha t garden kona ya lion hotel nyumba ya pili mkono wa kulia kama unakwenda kijiweni, gonga hodi utapata taarifa zake zote
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

stidy
 
Ashapata jimama linamlea bas
Hatak tena kuhangaika

Vijana wa bongo tabu sana

stidy
 
hata mbosso wakati anaanza na ule wimbo wake wa watakubali watu wengi walimbeza kama hivi... lakin leo mbosso ni habari nyingine

hivo sishangai kuona huyu dada anashambuliwa hivi, muda ni hakimu mzuri sana
Mboso alikua hatari toka Ya moto band, Acheni kufaninisha kijinga
 
Mboso alikua hatari toka Ya moto band, Acheni kufaninisha kijinga
Tatizo lako wewe ni kuwa lile Group ni hatari... Limefyonza akili zako zote, umebaki kutapatapa km mvumo wa debe tupu

Kwa mfuatiliaji wa mziki nani asiyekumbuka jinsi Mbosso alivokataliwa na mashabiki?

Alianza na "Watakubali" watu wakaikosoa sana na kusema WCB wamelamba gharasa

Akaja akatoa "Nimekuzoea", hapo watu kibao wakageuza shingo kana kwamba hakuna kinachoendelea... Hadi lebo yake ikawa 'disappointed'

Breakthrough yake ilikuja baada ya kutoa "Picha yake", hapo wengi wakamuelewa na ndo ikawa hivo mpaka leo anaweza jaza uwanja pekeake (ref; Mayotte)

Unapotaka kubisha kitu jitahidi kuwa na data kamili.

Hata Enock Bella akiwa Ya Moto alikuwa moto wa kuotea mbali
 
hata mbosso wakati anaanza na ule wimbo wake wa watakubali watu wengi walimbeza kama hivi... lakin leo mbosso ni habari nyingine

hivo sishangai kuona huyu dada anashambuliwa hivi, muda ni hakimu mzuri sana
Mbosso walau alikua tayari ana nafasi nzuri since alikua ni msanii wa Yamoto
 
Nafasi nzuri ipi? wote tunafahamu nani alikuwa akiibeba yamoto band
Mbosso alikua ni msanii wa Yamoto tunamjua way back, haikuwa kazi ngumu sana kumuamini kuwa atafanya vizuri.
Aslay kweli aliibeba Yamoto ila Mbosso hatukuwa na wasiwasi naye saana kama ambavyo wengi wanawasiwasi na wazanii wapya kabisa.
 
Back
Top Bottom