Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,982 Reaction score 51,157 Feb 13, 2026 #1 Lengo la kuwafanya baadhi ya mashahidi dhidi ya Tundu Lissu kwenye kesi ya Uhaini inayomkabili wawe wa kificho ni nini? Hao mashahidi hawatajulikana milele?
Lengo la kuwafanya baadhi ya mashahidi dhidi ya Tundu Lissu kwenye kesi ya Uhaini inayomkabili wawe wa kificho ni nini? Hao mashahidi hawatajulikana milele?
shuka chini JF-Expert Member Joined Feb 27, 2024 Posts 1,570 Reaction score 3,129 Feb 13, 2026 #2 Mbona jf hakuna update ya kesi ya lisu jamani au imepigwa ban
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,982 Reaction score 51,157 Feb 13, 2026 Thread starter #3 shuka chini said: Mbona jf hakuna update ya kesi ya lisu jamani au imepigwa ban Click to expand... Inashangaza sana... Sijui Kuna nini?
shuka chini said: Mbona jf hakuna update ya kesi ya lisu jamani au imepigwa ban Click to expand... Inashangaza sana... Sijui Kuna nini?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Feb 13, 2026 #5 Hao mashahidi ni viongozi... Cc: Mahondaw