Haoni choo msaada

Haoni choo msaada

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
21,329
Reaction score
28,063
Wakuu msaada mtu mzima anakula kama kawaida but anaweza kaa hata siku 3-4 hajaenda .Atumie Dawa gani?
 
Anatakiwa aende hospitali wampige BOMBA afu abadilishe namna ya ulaji wake.😀
 
Asanteni wakuu,ninaanza na papai kwanza halafu nitawaletea mrejesho
 
Mpe juice ya ukwaju,iwe imekolea, ambayo haijachanganywa na tunda lolote, glass mbili tu mkuu, mtaenda kuwasalimia majirani kwa lazima,, maana jamaa anaweza kubomoa choo.
 
  • Thanks
Reactions: bht
atumie matunda yenye nyuzi nyuzi kama nanasi lakini pia mapapai kwa ajili ya kulainisha choo

turejee edeni habari za kumeza sumu kutibu ugonjwa tuziache
 
Asanteni wakuu,ninaanza na papai kwanza halafu nitawaletea mrejesho
pole sana. kunywa castrol oil
juice ya ukwaju lita mbili
na papai moja zima
iwe asubuhi kabla ya kula chochote kama saa kumi na moja hivi
 
Back
Top Bottom