Hapa Afrika, suala la kujiuzulu na kuachia madaraka ni msamiati ambao hukumbatiwa na wachache

Hapa Afrika, suala la kujiuzulu na kuachia madaraka ni msamiati ambao hukumbatiwa na wachache

Nelibaba

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2023
Posts
290
Reaction score
386
Hapa Afrika, suala la kujiuzulu na kuachia madaraka ni msamiati ambao hukumbatiwa na wachache sana kwasababu kwa muktadha wa Afrika; cheo ni ulaji, cheo ni mamlaka, cheo ni biashara, cheo ni fimbo Kwa washindani, cheo ni "connection" ya mambo mbalimbali.

Nashangaa kuona mnajiuzulu pamoja na mambo yote hayo tajwa hapo juu.
 
Back
Top Bottom