Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa ushauriKama anatoa hela ya kula wewe na watoto wako mpotezee tu!
Kama mmefunga ndoa kweli kweli mshitaki kwa wazee!
Zaidi ya hapo keshachukuliwa akili na malaya fulani.
Mwenzio anataka uumizwe na matendo na maneno yake.....ukae kinyonge, hapo kwake ndo burudani.....Yaani hichi ndicho nakifanya muda huu naishi kama mjane napambana na yangu najipa furaha mwenyewe sasa anachukia eti namdharau mm simjibu maana nishachoka awepo asiwepo kwangu ni sawa tuu
Asante mwaya kwa ushauri nitaufanyia kazi vilivyoMwenzio anataka uumizwe na matendo na maneno yake.....ukae kinyonge, hapo kwake ndo burudani.....
Hivo unavyofanya ndo dawa ya kutibu ugonjwa anaoumwa.....hata aseme nini usinune, usikasirike.
I'm speaking from experience, nilipitia hali yako....na all Narcissist wanatumia kipindi cha uzazi kukutesa......nilishawahi hadi kuanzisha threads za kuomba ushauri humu[emoji1787]
Huyo ni mgonjwa, sasa usipomjali hizo kelele na gubu zake atazipeleka huko anakocheat🤣🤣🤣 Narcissist hawaiwezi amani kwenye mapenzi huwa wanaigiza mwanzoni.....tena usiwaze anakufanyia wewe vituko labda una kasoro, ndo walivyo, watamfanyia vituko mwanamke/mwanaume yeyote wakishachoka maigizo....Asante mwaya kwa ushauri nitaufanyia kazi vilivyo
You right bro, they like playing victimThis Beijing gender always potray themselves as innocent and saints.
Never trust 'em.
Hakuna kitu kama hicho unachofikiria wanaume hijikuta wajuaji hata mkikosea hamjui mmekosea hamtaki kuambiwa ukweli sina chochote cha kumpita yy buana mkubwaWewe una mambo mengi humshirikishi huyo mumeo,mlivyoanza maisha mlikuwa na hali ngumu sana mwanzoni,Wala wewe hukuwaga na chochote cha kufanya.Kwa wakati huu wewe umeanza kuwa na mabadiliko kwa kuwa hali ya uchumi wako umekuwa kwenye kipato chako.Hayo makosa yote anayoyafanya anafanya kwa kuwa hujawahi kumwamini kama anaweza kuwa mwaminifu kwako.sasa hivi kwenye akili zako unawaza kuachana naye,na umeanza kumjibu hovyo hovyo kwa kuwa unahisi unayamudu maisha na hata ndugu zako wanaweza kukusaidia kwa lolote.Kikubwa kinachokusumbua unahisi unamudu Kila kitu na huna haja nae.Kama haumhitaji na Bora uachane nae kwa kuwa hayo mawazo yako ya kulipa kisasi kwa kuwa na micheluko yatakufanya huyo mwanamume akufanyie jambo zito .Mara zote huyo mwanamume alikuvumilia ulikuwa haumpi hhaki ya tendo la ndoa kwa kuwa na udhaifu lakini hata ulipopona shida yako hukutimiza haja zake kwa wakati.jambo la msingi naona Kuna mambo uliambiwa na watu kuhusu huyo mume wako na umeyaamini asilimia 100 na Wala kiundani SI kweli hayo maneno ni uongo mtupu.timiza wajibu wako kama mama kwa familia,endelea kumheshimu mume wako,ukijichanganya ataoa mwanamke mwingine wenye uwezo zaidi yako .huko mbeleni Kuna ugonjwa utakupata maamuzi yoyote ya kipuuzi yatasababisha watoto wako kuteseka.wewe unapenda anasa na kuonekana una akili nyingi na kusifiwa na watu,ingawa mumeo ni mtu wenye iq kubwa sana Wala hajisifii kama wewe,mambo ya asili ya familia yako yanakufuata kwa Kasi kwa kuwa umeacha ule upendo wako wa kwanza kwa Mungu,tarateeb umetoka kwenye mstari ambao ulikuwa mwanzoni.hakuna mwanamume yeyote anayelenda dharau mama.Duniani Kuna jua moja na mwezi mmja na nyota.utukufu wa jua SI sawa na utukufu wa mwezi.ulipofanikiwa umetafuta kasoro nyingi kwa mume wako.
Sasa wewe unavyombania mzigo unategemea ale wapi?Hakuna kitu kama hicho unachofikiria wanaume hijikuta wajuaji hata mkikosea hamjui mmekosea hamtaki kuambiwa ukweli sina chochote cha kumpita yy buana mkubwa
mimi uyu sasa niwe sijazaa hadi umri huu,, woooiii basi p2 zimeniharibu,, pole mimi ni mama wa binti mreeeembo sanaHujazaa weye...alafu unaonekana una roho ya kikatili
Hongera kwa kuwa mamamimi uyu sasa niwe sijazaa hadi umri huu,, woooiii basi p2 zimeniharibu,, pole mimi ni mama wa binti mreeeembo sana
asante sana,,,ila nilichomaanisha pale,, wanawake wengi wanavumilia mateso na manyanyaso ya waume zao kwa kusema hawezi toka na kutenganisha watoto.........Hongera kwa kuwa mama
Sijasema namfungulia shauri mahali popote ,sina mahusiano nje sijamnyima tendo ila ni yeye ndio kaninyima na mm sioni haja ya kumlazimisha mtu kitu asichokitakaHayo mambo unafikiria kufanya siyo maamuzi sahihi ,unafikiria kumfungukia shauri mahali,ila utaishia kuaibika,hata hao unaotegemea wa kusaidie hawatakusaidia.nenda kamwombe mumeo msamaha na umpende.