Hapa bado ndoa ipo au nimebakia na ndoano?

Kama anatoa hela ya kula wewe na watoto wako mpotezee tu!
Kama mmefunga ndoa kweli kweli mshitaki kwa wazee!
Zaidi ya hapo keshachukuliwa akili na malaya fulani.
 
Kama anatoa hela ya kula wewe na watoto wako mpotezee tu!
Kama mmefunga ndoa kweli kweli mshitaki kwa wazee!
Zaidi ya hapo keshachukuliwa akili na malaya fulani.
Asante kwa ushauri
 
Yaani hichi ndicho nakifanya muda huu naishi kama mjane napambana na yangu najipa furaha mwenyewe sasa anachukia eti namdharau mm simjibu maana nishachoka awepo asiwepo kwangu ni sawa tuu
Mwenzio anataka uumizwe na matendo na maneno yake.....ukae kinyonge, hapo kwake ndo burudani.....

Hivo unavyofanya ndo dawa ya kutibu ugonjwa anaoumwa.....hata aseme nini usinune, usikasirike.

I'm speaking from experience, nilipitia hali yako....na all Narcissist wanatumia kipindi cha uzazi kukutesa......nilishawahi hadi kuanzisha threads za kuomba ushauri humu🤣
 
Asante mwaya kwa ushauri nitaufanyia kazi vilivyo
 
Asante mwaya kwa ushauri nitaufanyia kazi vilivyo
Huyo ni mgonjwa, sasa usipomjali hizo kelele na gubu zake atazipeleka huko anakocheat🤣🤣🤣 Narcissist hawaiwezi amani kwenye mapenzi huwa wanaigiza mwanzoni.....tena usiwaze anakufanyia wewe vituko labda una kasoro, ndo walivyo, watamfanyia vituko mwanamke/mwanaume yeyote wakishachoka maigizo....

So never feed his wicked ego, mpotezee......pendezaaa, Yani pendeza hadi ujipende.....Kwanza siku hizi hamna kuzeeka, uzee uutake mwenyewe.
 
Hakuna kitu kama hicho unachofikiria wanaume hijikuta wajuaji hata mkikosea hamjui mmekosea hamtaki kuambiwa ukweli sina chochote cha kumpita yy buana mkubwa
 
Hakuna kitu kama hicho unachofikiria wanaume hijikuta wajuaji hata mkikosea hamjui mmekosea hamtaki kuambiwa ukweli sina chochote cha kumpita yy buana mkubwa
Sasa wewe unavyombania mzigo unategemea ale wapi?
 
Shida Kuna Binti akimtaka ,Wala yeye Hana shida,
 
Hayo mambo unafikiria kufanya siyo maamuzi sahihi ,unafikiria kumfungukia shauri mahali,ila utaishia kuaibika,hata hao unaotegemea wa kusaidie hawatakusaidia.nenda kamwombe mumeo msamaha na umpende.
 
Mumeo ni mtu anakuchunguza kwa kutumia akili nyingi sana,kwa kifupi huna Siri unaweza kumficha.....matokeo ya kutaka kudate na co worker ni kama hivyo.wewe unategemea kuachana na mumeo kusa mume wa mtu?
 
Hujazaa weye...alafu unaonekana una roho ya kikatili
mimi uyu sasa niwe sijazaa hadi umri huu,, woooiii basi p2 zimeniharibu,, pole mimi ni mama wa binti mreeeembo sana
 
Hongera kwa kuwa mama
asante sana,,,ila nilichomaanisha pale,, wanawake wengi wanavumilia mateso na manyanyaso ya waume zao kwa kusema hawezi toka na kutenganisha watoto.........
 
Hayo mambo unafikiria kufanya siyo maamuzi sahihi ,unafikiria kumfungukia shauri mahali,ila utaishia kuaibika,hata hao unaotegemea wa kusaidie hawatakusaidia.nenda kamwombe mumeo msamaha na umpende.
Sijasema namfungulia shauri mahali popote ,sina mahusiano nje sijamnyima tendo ila ni yeye ndio kaninyima na mm sioni haja ya kumlazimisha mtu kitu asichokitaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…