Hapa bado ndoa ipo au nimebakia na ndoano?

Yaani angekua anakubali ningemleta humu mumsikilize na yeye maana mpaka nduguze wanamsema ana kiburi
Muache nikuoe Mimi nitakuwa nakusikiliza ila uwe na maokoto na uwe hujazidi 40
 
Ndio napambana sasa nikiwa bize na yangu anahisi namdharau
Kimchepuko ndo kinakutia kiburi uvunje mji wako ila jua ukishakuwa na watoto wawili ndoa ndo baibai
 
Kimchepuko ndo kinakutia kiburi uvunje mji wako ila jua ukishakuwa na watoto wawili ndoa ndo baibai
Sina mchepuko na wala sifikirii kua nao niache kuwaza pesa nijiongeze stress za maisha
 
Muombee ...
 
Unamjua huyu dada? Mbona unambishia kitu ambacho anaishi nacho kwake. Ni sawa na wewe utuletee story ya nyumbani kwako humu tukubishie...

You see?
Angalau angesema labda he/she needs to hear the other side of the story to know where its all going wrong. Maana, probably bi dada alishampa sana trauma her husband zinazomfanya awe hivyo alivyo.
 
Angalau angesema labda he/she needs to hear the other side of the story to know where its all going wrong. Maana, probably bi dada alishampa sana trauma her husband zinazomfanya awe hivyo alivyo.
Sijawahi mpa trauma yoyote angekubali nae kujieleza ingekua poa ila ndio hivo haiwezekani kuna mdau alitoa hoja ya kua alikosa malezi yenye upendo utotoni hii imenijengea kujua tatzo lipo wapi ni kweli kabisa kwa historia yake alilelewa kwa manyanyaso sana mpaka kukua kwake hakuwahi kupata upendo wa mama
 
Tafuteni walezi wenu wa ndoa au wasimamizi, washenga pia if possible mzungumze, ujue shida ipo wapi..? Hapa unachofanya sio sahihi, you keep on guessing on where it all went wrong wakati unakaa naye wewe na you can just talk it all out na mme wako. Communication is everything kwenye maisha ya ndoa especially siku hizi. Kaa nae ujue shida ni nini..? Maana siamini kama alikuwa hivi kabla hajakuoa..
 
Hilo la kwenda kwa washenga nimeshajaribu kwenda hafiki akipewa wito ,nakaa chini namuuliza kwa upendo tatzo lipo wapi ili nijue hasemi akiamua kununa mwaka mzima ni ananuna sasa mzima mwenye watoto akiamua kununia mpaka watoto wake kweli hapo kuna usalama c lazima uhisi huyu mtu ana matatzo
 
Huyo ni pure Narcissist, jitahidi kusoma kuhusu Narcissist's behaviour na jinsi ya kupambana nao.

Mimi pia nimepitia hali yako, Ila sasa nimeanza kupona.....Kama hutajali njoo pm nikupe madini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…