Dah yani bongo kupeana ramani ya kupiga maisha huwaga ngumu sana yani 😅😅😅 mtu akikupa ishu labda ambayo ya kipuuzi ya mshahara laki na nusu! Ila kazi za kueleweka hamna mtu atakupa hintsKaka usitegeme tajiri kukutafutia kaz zaid ya kupigwa kalenda km mm nilivyopigwaga kalenda na bosi flan hv wa taifa gase tena jiran yangu haswa niliishia kuambiwa nasafir kidg kwend US after one week or two mpk nikakata tamaa nae
Gari za hatari kaa mataa ya Palm Beach tu aisee utaona jinsi ambavyo tunasindikiza maisha wenzetu hapa bongo!kule mbezi kwa zena kuna gari za kawaida kila aina bwana huyo asitutishe [emoji2][emoji2]
Sehemu ambapo kuna gari kali kali ni upanga tena ule mtaa wa Mindu kwenye Gorofa za minduplace nikiwa pale naenjoy sana.
Kwingine huku Toure Dr Masaki ukikaa hapa Cliffside Residence unaona Kwanzia gari kali/Sea Cliff Sea view safi kabisa
Furaha na amani haiji bila pesa aisee! Hapo ndipo mtihani ulipo.Kikubwa furaha na amani tyuuh hayo mengine ya kupita
Ukiona una nyumba kali hivo unaweka vifaa vya kuzima moto vile wanaweka juu ya ceiling, pia ujenge urafiki na watu wa zima moto uwe na namba zao kabisa[emoji3]Tatizo la Bongo nyumba ikianza kuungua moto Fire Brigade mpaka watoke Bandarini au Airport wafike Oysterbay nyumba ishateketea.
Unapofananisha Bongo na Ulaya usifananishe majengo tu.
Angalia miundombinu pia.
Huku Moshi kuna Bar inaitwa Vegas, mi paka ya hapo ni minene na imependeza kichizi[emoji28] hata mkiwa pale haina shobo ya kutafuta chakula. Na misosi ya pale ni mikuku na chipsWiki jana nilienda kwa aunt yangu Kijichi kuna mitaa fulani ya ushuani fulani. Sasa nikasahau namba ya nyumba na jina la mtaa maana wana vimitaa vidogo vingi
Akawa hapatikani kwa simu, yeye alijua napakumbuka. Nilikuwa nakumbuka njia mbili, ya kutokea kwa Zombe yule askari au ya kutokea kwa Filikunjombe.
Kilichonichanganya katikati mitaani nilikutana na mbwa koko wengi kuliko watu. Yani Kijichi kuna mijibwa mingi njiani. Nikakumbuka hata kwetu pale sisi ndio wa kishua, mapaka hayakomi kuzalia kwetu ila sijawahi ona yanazaliana kwa majirani.
Conclusion niliyopata. Hata mbwa koko na mapaka yanajua wapi kuna makombo yakushibisha. Wanapokula miguu ya kuku na kutafuna mifupa yote hawawezi tembelewa na mbwa koko hata siku moja.
Jamani tutafute hela hata wanyama watuheshimu.
Mnamkumbuka yule rais Habyarimana wa Rwanda aliyeuliwa wakati ndege yake inatua ? , alikuwa anafuga joka kubwa mno, na dakika chache baada ya kifo chake lile joka lilipotea na halikuonekana tena licha ya kwamba lilikuwa ndani ya cageMkuu maisha ya huko Oysterbay nimeishi sana tena ktk hiyo mijumba ya kifahari ila asikwambie mtu mkuu mambo yanayotokea usiku ni hatari sana yaani hao wenye hiyo mijumba wanafuga viumbe vyakutisha
Amini mkuu hao watu wanamaagano yakishirikina
Yani ndugu yangu achaa kuna ile njia iliyochepuka kushoto kama unatokea salenda kwenda posta si kuna cross road pale palm, ukipita hio unatokea nyuma ya Crdb kule masoko Kuna magari jamani [emoji114]Gari za hatari kaa mataa ya Palm Beach tu aisee utaona jinsi ambavyo tunasindikiza maisha wenzetu hapa bongo!
Ile road inayoishilia Aga Khan ile 😅😅😅Yani ndugu yangu achaa kuna ile njia iliyochepuka kushoto kama unatokea salenda kwenda posta si kuna cross road pale palm, ukipita hio unatokea nyuma ya Crdb kule masoko Kuna magari jamani [emoji114]
Kingazi resort....nakaa mita chache sn kutoka hapo,Ila Mimi siyo mtu wa mitoko.Ni sehemu Safi sn Kwa wenye pesa zao..nikipiga zangu jogging mida ya usiku kuelekea nssf road daily kingazi hapakauki gariYah nilishawah kuuliza sehemu nikakuta 50 kwa 100 milioni 250.... Niliishiwa pozi.
Kule ni msala aiseee kuna bar inautwa kingazi. Nouma.
Na sipati picha zile nyumba zikianza kutumika za nssf
Pia kuna road inayoanzia round about ya clouds pale mikocheni kuelekea mbezi beach..kule kuna gari za nchi za dunia ya Kwanza za kutosha snIle road inayoishilia Aga Khan ile 😅😅😅
Hahah vidude vya million 200 na usheePia kuna road inayoanzia round about ya clouds pale mikocheni kuelekea mbezi beach..kule kuna gari za nchi za dunia ya Kwanza za kutosha sn
Nikiwa pale nasubiri daladala ya kawe kurudi zangu mbagala nazihesabu sn🤣🤣
mkipata michongo tuambiane tupendwe wote..🧐Pole sana mkuu tafuta hela na mtumainie Mungu kila kitu kitaenda sawa hawa madem bila pesa Mama angu nakuapia hutapendwa[emoji23][emoji23]
shukuru kwanza kwa ulichonacho then uongeze juhudi ili ushukuru tenaImani za kijinga,yaani Mungu akunyime ukwasi kwa vile utajiua? sasa kwanini asizuie hicho kifo, na akupe mihera kibao,
Hutakiwi kushukuru kama hujatafuta
Dah yani bongo kupeana ramani ya kupiga maisha huwaga ngumu sana yani [emoji28][emoji28][emoji28] mtu akikupa ishu labda ambayo ya kipuuzi ya mshahara laki na nusu! Ila kazi za kueleweka hamna mtu atakupa hints
mkipata michongo tuambiane tupendwe wote..[emoji3166]
Dah halafu tunategemea kizazi cha roho mbaya kiishe?
Bongo kama unahitaji uone faida kidogo kwenye biashara, jitutumue uwe muuzaji wa jumla. Chagua bidhaa zako hata tatu tu.Dah yani bongo kupeana ramani ya kupiga maisha huwaga ngumu sana yani 😅😅😅 mtu akikupa ishu labda ambayo ya kipuuzi ya mshahara laki na nusu! Ila kazi za kueleweka hamna mtu atakupa hints
au ukizunguka ukapata kazi pale pale anaaza kujifanya mwana sanaYan kiuhalisia mwanangu hizi ngozi nyeusi tunaroho flan hv ya ubinafs wengn anapenda akikutana na mwana aombwe hela tu siku zote ili umnyenyeke ila kukupa mchongo endapo akisikia anaona tabu alaf ilishapita ndio anakupasha
Kwa hiyo matajiri hawaridhiki?!!Hahaha uliza wewe mkuu..hahaha hua nacheka sana aisee ukikutana na waliokata tamaa ya maisha au walioamua kua maskini ukikuta wanachoongea unaweza kuaga haraka na kuondoka kwa kasi, mtu anachamba na makaratasi anasema ameridhika na maisha, mtu mtoto wake kafa sababu alikosa shilingi elfu 10 ya kununua dawa anasema karidhika na maisha ya kifukara kwamba anashukuru kwa kila jambo, na ukikuta ni wamekaa kinyonge na nyimbo ni za dini za kulilia mateso shida, majonzi, machozi, n.k
Wale masela kule masaki Chanika ndani huko yani niliwakuta kama wana serikali yao ,wako Poa tu hamna stress na kuna mama muuza anawahudumia na kuna mabinti kadhaa nao wanagonga vyombo gongo. Ndumu jamaa wanalivuta tu kama fegi.
aisee walinifikirisha sana,nikiwaza mi madeni niliyonayo jinsi kulipa,+kodi alafu jamaa wanakula bata kivyao porini huko bila mawazo nikawaonea wivu haswa.
Polisi kule hamna
🤣We acha tu nilijifkiria sana,maana nikaona yaani madeni huko benki,kodi, hawa jamaa wako zao wanakula bata kivyao.
Bangi linavutwa kama fegi hamna polisi kule alafu wana kakibanda kana nyanya 2-3 tudagaa kidogo,vimafuta vya kula wamekaandika supermarket😂😂😂.