Hapa Chege Chigunda Hapa Diamond

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Tukae mkao wa kulaa by sa Moja kamili asubuhi,chege chigunda mtoto wa mama Said akimshirikisha Diamond platnumz ambaye hajuagiii kuharibu kwenye kazi akishirikishwa wanatudondoshea Goma lao leo hiii mida hiyooo!!!!!!

Nimebahika kuusikiliza huo wimbo ama kwa hakika Diamond kwa kujituma kule bati atachelewa sanaaa kupotea kwenye Rsmani ya Mziki!!! Chegeeeeeeeeeee Enziii zakee zileee hadi sasa bado ni chegeee enzi na mapangaaa enzi za Mtoto Iddiiii kazua baraaaaaaa naona Chegee kalizua Baraaa si kwa wimbo huuu mzuri!!!!

Tuwe hapaaa wote,na tusubiri kwa Amani!! Yaani WCB ni kila siku kila leo lazima umsikie mmoja wapo usipo msikia Diamond akizawadiwa wake wa kupakaziwa ,basi utamsikiaaa mavokoo oooh kamponda boss wake,usipomsikia Mavoko utamsikia Harmonize akilalamika na Matatizo ya duniaaa....Usipo msikiaaa Harmonize na Matatizo basi utamsikia Babu Tale Yupo mahakamani hajalipa Deni la watu! Ukiwa unamshangaa Babu Tale na Matatizo yake zaidi ya Harmonize basi utamsikia Rayvanny katoa Rasta zake baada ya wabongoo kumfungia kamba kuwa hajapendeza!!! Oooh WCB kwa nguvu waliyo nayo kwenye Media na social nertworks Chege anaachaje kuwikaaa sasa

Tulieni hapaaa huu mchezo hahutaji hasiraaaaaaaaa Gomaaaa lile linakujaaaa......

Chegeee wewe Mbayaaaaaaaaaaaaaaaa,yaaani yaani wewe mbayaaaaaaaaaaa (In Jote Voice)
 
Tunaisubiri hiyo ngoma. Kuhusu Babu Tale na deni lake unapaswa kuenda kwenye uzi wake kulijadili.
 
Tunaisubiri hiyo ngoma. Kuhusu Babu Tale na deni lake unapaswa kuenda kwenye uzi wake kulijadili.
Mtoa uzi mbona kamjadili tale humu....' Madeni lazima yalipwe hata kama mdaiwa hataki....povu za ninn?
 
Nimekisikia kitu ndani ya Clouds, hiyo ngoma hatari sana "waache waoane tu". Mashairi yenye akili sana, Chege ametishaaa. Diamond ametenda haki ndani ya huo wimbo.

Watu watampopoa Chege kisa eti kafanyia kufuru zake Wasafi.
 
Nimekisikia kitu ndani ya Clouds, hiyo ngoma hatari sana "waache waoane tu". Mashairi yenye akili sana, Chege ametishaaa. Diamond ametenda haki ndani ya huo wimbo.

Watu watampopoa Chege kisa eti kafanyia kufuru zake Wasafi.
mbona mimi naona ngoma ya kawaida tu huyu diamond nae uimbaji wake ushazoeleka kudoa donoa kweny beat
 
haizidi CHUMA ya chid benz a.k.a king kong
 
Mmmmh kuna watu kila Nyimbo ikitoka wao kwao ni Ya kawaida sanaaa!!!! Sasa mlitaka iwe ya Ajabu!!!!
 
Heeeee mtoto Idd imeingiaje hapa na habari za Chege au sijaelewa..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…