ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Tukae mkao wa kulaa by sa Moja kamili asubuhi,chege chigunda mtoto wa mama Said akimshirikisha Diamond platnumz ambaye hajuagiii kuharibu kwenye kazi akishirikishwa wanatudondoshea Goma lao leo hiii mida hiyooo!!!!!!
Nimebahika kuusikiliza huo wimbo ama kwa hakika Diamond kwa kujituma kule bati atachelewa sanaaa kupotea kwenye Rsmani ya Mziki!!! Chegeeeeeeeeeee Enziii zakee zileee hadi sasa bado ni chegeee enzi na mapangaaa enzi za Mtoto Iddiiii kazua baraaaaaaa naona Chegee kalizua Baraaa si kwa wimbo huuu mzuri!!!!
Tuwe hapaaa wote,na tusubiri kwa Amani!! Yaani WCB ni kila siku kila leo lazima umsikie mmoja wapo usipo msikia Diamond akizawadiwa wake wa kupakaziwa ,basi utamsikiaaa mavokoo oooh kamponda boss wake,usipomsikia Mavoko utamsikia Harmonize akilalamika na Matatizo ya duniaaa....Usipo msikiaaa Harmonize na Matatizo basi utamsikia Babu Tale Yupo mahakamani hajalipa Deni la watu! Ukiwa unamshangaa Babu Tale na Matatizo yake zaidi ya Harmonize basi utamsikia Rayvanny katoa Rasta zake baada ya wabongoo kumfungia kamba kuwa hajapendeza!!! Oooh WCB kwa nguvu waliyo nayo kwenye Media na social nertworks Chege anaachaje kuwikaaa sasa
Tulieni hapaaa huu mchezo hahutaji hasiraaaaaaaaa Gomaaaa lile linakujaaaa......
Chegeee wewe Mbayaaaaaaaaaaaaaaaa,yaaani yaani wewe mbayaaaaaaaaaaa (In Jote Voice)