Hapa Dar ni maduka gani yanauza office shoes original?

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Kiukweli nimechoka kununua hivi viatu vya Kariakoo unanunua leo wiki ijayo kimeachia pembene unapeleka kwa fundi huku kiatu umenunua 100k+.

Naomba kujua maduka ambayo yanauza viatu original, kiatu ambacho nikinunua hata kama ni 400k lakini kinadumu kwa muda flani angalau miezi sita na kuendelea.

Nimewahi kununua European shoes kwenye mtumba kinondoni kwa 200k, kiatu kilikua bomba balaa na nilikaa nacho zaidi ya miaka 2. Sema yele mwenye lile duka alifirisika.

Natanguliza shukran.
 
Nenda Justfit Mliman city.

Au nenda Woolworth mlimani city au posta au kawe Wana maduka.
 
Kiukweli nimechoka kununua hivi viatu vya Kariakoo unanunua leo wiki ijayo kimeachia pembene unapeleka kwa fundi huku kiatu umenunua 100k+.

Naomba kujua maduka ambayo yanauza viatu original, kiatu ambacho nikinunua hata kama ni 400k lakini kinadumu kwa muda flani angalau miezi sita na kuendelea.

Nimewahi kununua European shoes kwenye mtumba kinondoni kwa 200k, kiatu kilikua bomba balaa na nilikaa nacho zaidi ya miaka 2. Sema yele mwenye lile duka alifirisika.

Natanguliza shukran.
Kama unaweza kununua kiatu 400,000/- kwanini usiagize online from US au UK?
 
Vinafumuka sole haraka sana, ila niliambiwa sababu ya ardhi ya huku nilipo chumvichumvi, labda akavalie huko bukoba😁
Uwongo labda uwe una tembelea kwenye vichuguu vya chumvi
 
Kuna fundi anashona kiatu yoyote unayotaka ukihitaji check me hutojutia
 
Wacheki WOP Woiso Original Products. Wana viatu vizuri sana bei zao zinaanzia tu 50k
 
Mie navaa viatu vya mtumba kuna dogo ananiuzia yuko Karume. Viatu vyake ni original ngozi na soli za ukweli. Price ina range kati ya 60k hadi 100k

Ukitaka ukae na viatu muda mrefu make sure unanunua pair nyingi mie nakaa na kiatu hata miaka mitano na zaidi kwa kuwa nina pairs nyingi sana
 
Kiukweli nimechoka kununua hivi viatu vya Kariakoo unanunua leo wiki ijayo kimeachia pembene unapeleka kwa fundi huku kiatu umenunua 100k+.

Naomba kujua maduka ambayo yanauza viatu original, kiatu ambacho nikinunua hata kama ni 400k lakini kinadumu kwa muda flani angalau miezi sita na kuendelea.

Nimewahi kununua European shoes kwenye mtumba kinondoni kwa 200k, kiatu kilikua bomba balaa na nilikaa nacho zaidi ya miaka 2. Sema yele mwenye lile duka alifirisika.

Natanguliza shukran.
Nakushauri tafuta mafundi viatu wanateneza viatu vipya vya ngozi kwa mkono.

Binafsi hufanya hivyo, kuna nafundi wapo huku kwetu wananichongea viatu kwa aina ninayotaka. Hawajaniangusha.
 
Mie navaa viatu vya mtumba kuna dogo ananiuzia yuko Karume. Viatu vyake ni original ngozi na soli za ukweli. Price ina range kati ya 60k hadi 100k

Ukitaka ukae na viatu muda mrefu make sure unanunua pair nyingi mie nakaa na kiatu hata miaka mitano na zaidi kwa kuwa nina pairs nyingi sana
Karume sehem Gani nipe namba yake ila Kwa kuongezea pia Kuna mwamba karume insta anatumia Mauwezo org nimemvulia shati Kwa viatu vya kijanja toka mambele
 
Back
Top Bottom