Zinakata soliNunua "clarks",
hutojutia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinakata soliNunua "clarks",
hutojutia
Sure; sema wakati mwingine kiatu inabidi ufitishe mguuniKama unaweza kununua kiatu 400,000/- kwanini usiagize online from US au UK?
Nisaidie namba ya huyo fundi please.Kuna fundi anashona kiatu yoyote unayotaka ukihitaji check me hutojutia
Kuna mwamba mmoja yupo pale ilala kwenye spare za magari wanauza mitumba mizuri sana na wengine wapo makumbusho kama unaingia standi wapo vizuriKarume sehem Gani nipe namba yake ila Kwa kuongezea pia Kuna mwamba karume insta anatumia Mauwezo org nimemvulia shati Kwa viatu vya kijanja toka mambele
kama unaweza bila kusita nifowadie namba zake inbox kama unazo ili niweze wacheki niko mkoani mie mzee ila ugonjwa wangu ni viatu tuKuna mwamba mmoja yupo pale ilala kwenye spare za magari wanauza mitumba mizuri sana na wengine wapo makumbusho kama unaingia standi wapo vizuri
Lazima afilisike unakaa na kiatu 2years unategemea angesurvive vipi?Kiukweli nimechoka kununua hivi viatu vya Kariakoo unanunua leo wiki ijayo kimeachia pembene unapeleka kwa fundi huku kiatu umenunua 100k+.
Naomba kujua maduka ambayo yanauza viatu original, kiatu ambacho nikinunua hata kama ni 400k lakini kinadumu kwa muda flani angalau miezi sita na kuendelea.
Nimewahi kununua European shoes kwenye mtumba kinondoni kwa 200k, kiatu kilikua bomba balaa na nilikaa nacho zaidi ya miaka 2. Sema yele mwenye lile duka alifirisika.
Natanguliza shukran.
Kama anaweza nunua kiatu 400k kwanini asinunue na gari tu! Huyu viatu vinaisha kwakuwa anatembea kwa miguu sanaKama unaweza kununua kiatu 400,000/- kwanini usiagize online from US au UK?
Nunueni magari viatu vitadumu utakuwa unanunua matairi tuMie navaa viatu vya mtumba kuna dogo ananiuzia yuko Karume. Viatu vyake ni original ngozi na soli za ukweli. Price ina range kati ya 60k hadi 100k
Ukitaka ukae na viatu muda mrefu make sure unanunua pair nyingi mie nakaa na kiatu hata miaka mitano na zaidi kwa kuwa nina pairs nyingi sana
This is Jf broo kuongeza sifuri kawaidaKama anaweza nunua kiatu 400k kwanini asinunue na gari tu! Huyu viatu vinaisha kwakuwa anatembea kwa miguu sana
Kwani ukiwa na magari ndio viatu haviishi? au unaingia na gari mpaka Mlimani City ndani kabisa. Na vipi kama ni mtu wa mazoezi jogging n.k utatumia gari?Nunueni magari viatu vitadumu utakuwa unanunua matairi tu
Sunderland vitu vyao fake, siyo original kabisa. Ila kwenye macho it seems kama original. Nadhani woolworth etc, yaani tafuta maduka yaliyopo posta. Mfano pale duka moja la mchaga posta ya zamani opp na tcb (bank ya posta zamani ) ana viatu bomba. Maduka mengine mlimani city. Kariakoo wafanyabiashara wanashirikiana na wachina ku imitate products zifanane na original kwa sababu bei ya kariakoo ni ndogo
Nunua Clarks, Piere Cardina, Gucci, Robert
Maduka Mlimani City, Mwenge, Postal,Sunderland Kariakoo