The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Kama unaweza kununua kiatu 400,000/- kwanini usiagize online from US au UK?Kiukweli nimechoka kununua hivi viatu vya Kariakoo unanunua leo wiki ijayo kimeachia pembene unapeleka kwa fundi huku kiatu umenunua 100k+.
Naomba kujua maduka ambayo yanauza viatu original, kiatu ambacho nikinunua hata kama ni 400k lakini kinadumu kwa muda flani angalau miezi sita na kuendelea.
Nimewahi kununua European shoes kwenye mtumba kinondoni kwa 200k, kiatu kilikua bomba balaa na nilikaa nacho zaidi ya miaka 2. Sema yele mwenye lile duka alifirisika.
Natanguliza shukran.
Vinafumuka sole haraka sana, ila niliambiwa sababu ya ardhi ya huku nilipo chumvichumvi, labda akavalie huko bukoba😁Watafute WOP Woiso Original Product...hauto juta.
Uwongo labda uwe una tembelea kwenye vichuguu vya chumviVinafumuka sole haraka sana, ila niliambiwa sababu ya ardhi ya huku nilipo chumvichumvi, labda akavalie huko bukoba😁
😁😁Yeah huku Ununio vikoUwongo labda uwe una tembelea kwenye vichuguu vya chumvi
Ahahahahahah Dynasty pale.😁😁Yeah huku Ununio viko
Wana page insta or twiiter tuwafollowWatafute WOP Woiso Original Product...hauto juta.
Viatu 400k na unatembea kwa miguu [emoji26][emoji26][emoji26]Vinafumuka sole haraka sana, ila niliambiwa sababu ya ardhi ya huku nilipo chumvichumvi, labda akavalie huko bukoba[emoji16]
🤣🤣 kuanzia bei gani unatembelea mikono?? kiddingViatu 400k na unatembea kwa miguu [emoji26][emoji26][emoji26]
Nakushauri tafuta mafundi viatu wanateneza viatu vipya vya ngozi kwa mkono.Kiukweli nimechoka kununua hivi viatu vya Kariakoo unanunua leo wiki ijayo kimeachia pembene unapeleka kwa fundi huku kiatu umenunua 100k+.
Naomba kujua maduka ambayo yanauza viatu original, kiatu ambacho nikinunua hata kama ni 400k lakini kinadumu kwa muda flani angalau miezi sita na kuendelea.
Nimewahi kununua European shoes kwenye mtumba kinondoni kwa 200k, kiatu kilikua bomba balaa na nilikaa nacho zaidi ya miaka 2. Sema yele mwenye lile duka alifirisika.
Natanguliza shukran.
Karume sehem Gani nipe namba yake ila Kwa kuongezea pia Kuna mwamba karume insta anatumia Mauwezo org nimemvulia shati Kwa viatu vya kijanja toka mambeleMie navaa viatu vya mtumba kuna dogo ananiuzia yuko Karume. Viatu vyake ni original ngozi na soli za ukweli. Price ina range kati ya 60k hadi 100k
Ukitaka ukae na viatu muda mrefu make sure unanunua pair nyingi mie nakaa na kiatu hata miaka mitano na zaidi kwa kuwa nina pairs nyingi sana