babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
Hajitambui huyo............ujinga ni adui Mwl Nyerere aliona mbali sana.
Dah!Tangu lini avatar hiyo, aisee!
Nikirejea kwenye mada,asamehewe saba mara sabini.Afadhali umetambua hajitambu....
miss strong: kweli kama ujio wa Obama.Ila kaa chonjo, usijeitwa mhamiaji haramu wa Karagwe kule wanaorejeshwa kwao, sioni tofauti hapo kwa avatar yako na wana wa PK....si pendi nkukose aisee!Hujaipenda mkuu Descartes......hiyo kama ujio wa obama.
miss strong: kweli kama ujio wa Obama.Ila kaa chonjo, usijeitwa mhamiaji haramu wa Karagwe kule wanaorejeshwa kwao, sioni tofauti hapo kwa avatar yako na wana wa PK....si pendi nkukose aisee!
miss strong: wewe tayari unakitambulisho cha taifa?Ni miongoni mwa wateule wa nchi hii?Maana kumbukumbu zangu zinaniambia waliopata mpaka sasa ni wale walio Ikulu na karibu na kuta zake jumba jeupe.(nasisitiza, sitaki nkukose hii fukuza wahamiaji haramu haina huruma.Wewe kwa avatar hii si wakurejesha Rwanda lazma uache uzao bongo aisee..."Ha ha ha ha usijal mkuu Descartes...kamatakamata itanikosa coz ntakuwa na kitambulisho cha taifa/