Hapa diamond alikuwa anamaanisha nini?

Hapa diamond alikuwa anamaanisha nini?

babumapunda

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
4,643
Reaction score
3,301
diamond na roma
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1377008413408.jpg
    uploadfromtaptalk1377008413408.jpg
    76.6 KB · Views: 597
anawapa dole la kati play haters mather ----kkkkkkkkkkkkkkkkker


r.i.p cowbama
 
Hajitambui huyo............ujinga ni adui Mwl Nyerere aliona mbali sana.
 
miss strong: kweli kama ujio wa Obama.Ila kaa chonjo, usijeitwa mhamiaji haramu wa Karagwe kule wanaorejeshwa kwao, sioni tofauti hapo kwa avatar yako na wana wa PK....si pendi nkukose aisee!

Ha ha ha ha usijal mkuu Descartes...kamatakamata itanikosa coz ntakuwa na kitambulisho cha taifa/
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha usijal mkuu Descartes...kamatakamata itanikosa coz ntakuwa na kitambulisho cha taifa/
miss strong: wewe tayari unakitambulisho cha taifa?Ni miongoni mwa wateule wa nchi hii?Maana kumbukumbu zangu zinaniambia waliopata mpaka sasa ni wale walio Ikulu na karibu na kuta zake jumba jeupe.(nasisitiza, sitaki nkukose hii fukuza wahamiaji haramu haina huruma.Wewe kwa avatar hii si wakurejesha Rwanda lazma uache uzao bongo aisee..."
 
Back
Top Bottom