Hapa Duniani kuna Kiongozi ambaye hazungukwi na ndugu na Marafiki katika Utawala wake?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nazungumzia katika zama hizi kuna Kiongozi asiyeteua nduguze na Marafiki washiriki kumsaidia katika Uongozi wake?

Hii Dunia imebadilika sana Uadui na uovu umetapakaa kila kona

Jumaa Mubarak 😃
 
Jumaa Mubarak [emoji2]
Ni Tanzania tu yenye watu wanafiki, usipo weke ndugu zako unakufa bila kujua.
 
Back
Top Bottom