utawala bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT: Tanzania ipo katika mkwamo wa Kisiasa, sababu ya ukiukwaji wa Demokrasia, Utawala Bora na Haki za Binadamu

    TAARIFA KWA UMMA HAKUNA MARIDHIANO BILA UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI Leo, Novemba 1, 2026. Chama cha ACT Wazalendo kimeeleza kuwa Tanzania ipo katika mkwamo mkubwa wa kisiasa unaotokana na ukiukwaji wa misingi ya demokrasia, utawala bora na haki za binadamu, na kusisitiza kuwa hakuna maridhiano...
  2. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya 5 kwa utawala bora Africa, ikifatiwa na Mauritius, Rwanda, Botswana na Morocco imepanda kutoka 6-5, 2026

    Nianze na kumpongeza Rais wa JMT DR SAMIA SULUHU HASSAN kwa kuendeleza utawala Bora nchini, Dunia Imejionea yenyewe jinzi utawala Bora unavyotekelezwa nchini na ikizingatiwa hivi karibuni USA ilitoa waraka ukisema Tanzania ni nchi salama. Narudia tena: HONGERA SANA MH. RAIS DR SAMIA SULUHU...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya tano kwa utawala Bora Afrika na duniani namba 80

    Tanzania imeshika nafasi ya tano barani Afrika na nafasi ya 80 duniani katika Kielezo cha Chandler cha Utawala Bora Serikalini cha mwaka 2026 (CGGI), baada ya kurekodi maboresho makubwa zaidi katika utendaji wa jumla wa Serikali miongoni mwa nchi 23 za Afrika zilizotathminiwa tangu mwaka 2021...
  4. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tanzania Namba 5 Kwa Utawala Bora Afrika Ikitanguliwa na Mauritius,Botswana, Morocco na Rwanda.

    My Take Watakaoumia sana baada ya hii ripoti ni Chadomo na wale Jamaa wa Kanisa la Mitume wa Kirumi 😂😂👇👇 https://www.instagram.com/p/De84fu_gl6I/?dlrf=aTl4bXhodmk0MXdw
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa 153 wa IPU Arusha: Je, Tanzania Inahubiri Utawala Bora Usio na Uhalisia?

    Wakati wabunge na viongozi wa kidiplomasia kutoka nchi zaidi ya 140 wakimiminika jijini Arusha kwa ajili ya Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) utakaofanyika kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026, Tanzania inajikuta katika njiapanda nzito ya kisiasa. Kwa upande mmoja, nchi inajivunia fursa...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni upi hasa mchango wa vyama vya vya siasa hususani vya upinzani katika ustawi wa demokrasia, utawala wa sheria na utawala bora Tanzania?

    Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania, kumekuwepo na mageuzi na mabadiliko mengi sana makubwa ya kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa. Kama mdau wa muhimu na wa heshima sana wa JF, unadhani ni upi mchango wa vyama vya siasa vya upinzani katika...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imeng'olewa Meno

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini imeshindwa kuwa huru na kutekeleza wajibu wake kikamilifu. "Tume ya Haki za Binadamu kwa kweli haina meno. Imeng'olewa meno, sasa tunaipa kuwa itafune, haitaweza."...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Demokrasia imekufa, tupiganie zaidi utawala bora wa maendeleo

    Demokrasia ya kiliberali (Liberal democracy) imekufa duniani, imezikiwa na utawala wa Trump, Israel na matajiri mabilionea wa dunia. Tupiganie zaidi utawala unaowajibika kuleta maendeleo ya vitu na unaowajibika kwa raia bila kujali unapatikanaje. Ni bahati mbaya sana demokrasia imekufa kabla...
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tanzania 2050: Ajenda ya kulikomboa taifa kupitia katiba, demokrasia na utawala bora

    Utangulizi Tanzania ina rasilimali nyingi, watu wenye uwezo mkubwa, ardhi, madini, mifugo, kilimo, bahari na nafasi muhimu ya kijiografia. Hata hivyo, utajiri wa taifa pekee hautoshi kulifikisha taifa kwenye maendeleo endelevu. Tanzania ya mwaka 2050 inahitaji taasisi imara, Katiba inayolinda...
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Viongozi wakubwa Serikalini na Chama (CCM) waliotangaza kustaafu, kujiuzulu katika utawala wa Samia mpaka sasa. Umejifunza nini?

    Hayati Job Ndugai - Januari 6, 2022 alitangaza kujiuzulu nafasi yake ya Uspika wa Bunge, akisema uamuzi huo ameufanya kwa hiyari yake kabisha na kwa kuzingatia maslahi mapana ya nchi, serikali na chama. Desemba 28, 2021 akiwa kwenye mkutano huko Dodoma video yake ilitrendi akisema Samia ametoka...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tuyaonyeshe mataifa yanayotubexa kwa utovu wa utawala bora kwa kumwomba mh rais akubali kufika kwa mahakama

    Hii ingeonyesha heshima kwa sheria zetu na utawa bora unaogeshimu sheria Katuga hakufikiri vizuri kuweka pingamizi la mashahidi wa Lissu upande wa serikali kwani hofu yake ni nini. Kwani wakisimama kutoa ushahidi watageuzwa kuwa wao ndiyo wahaini Wito wangu kwa mama yetu mwambie...
  12. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Nini faida ya Asasi za Kiraia na mikataba ya kimataifa juu ya utawala bora kama Serikali inakiuka makusudi?

    Habari wana JF Kama kichwa kinafyojieleza hapo juu. Hii mikataba mbalimbali ya kimataifa ambayo serikali husaini kwa ajili ya ushirikiano wa kimataifa na upatikanaji wa fedha za maendeleo kwa namna mbalimbali ni namna gani huleta faida/msaada endapo serikali itaamua kwa makusudi ya maslai yake...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania 'Uchamishaji' wa taasisi za umma, tishio kwa utawala bora

    UCHAMISHAJI WA TAASISI ZA UMMA: TISHIO KWA UTAWALA BORA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Katika mfumo wa taifa la kisasa, kuna tofauti kubwa kati ya chama cha siasa, serikali na taifa. Chama cha siasa ni taasisi inayoundwa na watu wenye mtazamo na itikadi fulani za kisiasa. Vyama kama vile...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Patrobas Katambi amuweka Samia Suluhu kwenye minzani ya Utawala bora na Utawala wa Sheria

    Patrobas Katambi amuweka Samia Suluhu kwenye minzani ya Utawala bora na Utawala wa Sheria. Samia alijua atakuwa mtu wa kumsaidia kuwaunganisha watanzania. Badala yake katambi kamvua nguo Samia hadharani. Je, Matendo ya Katambi ni Maagizo ya Samia. Au kamuweka njia panda?
  15. U

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaendelea kuwa kitovu cha Utawala Bora Afrika, Kikwete apokea wataalamu kutoka Somalia kuja kujifunza Utawala Bora

    Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake kama kitovu cha mafunzo ya utawala bora barani Afrika baada ya kupokea ujumbe wa wataalamu 25 kutoka Somalia kwa ajili ya mafunzo maalumu ya uendeshaji bora wa utumishi wa umma. Akizungumza wakati wa mapokezi ya ujumbe huo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mbunge: CHADEMA kufunguliwa ina dhihirisha 'utawala bora' wa awamu ya sita

    Mbunge wa Lupembe Edwin Swale adai CHADEMA kufunguliwa ina dhihirisha 'utawala bora' wa awamu ya sita, 'mama anapenda vyama vyote'.
  17. Msanii

    JamiiForums Tanzania Ukabila na Nepotism Serikalini: Janga Linalotafuna Utawala Bora na Umoja wa Kitaifa 🇹🇿

    Tanzania imekuwa mfano wa kuigwa barani Afrika kwa kuwa na umoja wa kitaifa unaovuka mipaka ya makabila zaidi ya 120. Hata hivyo, hivi karibuni kumeanza kujitokeza viashiria vya hatari ambapo baadhi ya wanasiasa wenye madaraka wanatumia nafasi zao kujenga mtandao wa upendeleo unaozingatia asili...
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa kiwango cha Upumbavu kilichopo kwa wana CCM sasa, ni lazima litokee jambo zito dhidi yao kuwafanya Wajifunze maana ya Utawala Bora.

    Nimetoka kuangalia video fupi ya ugomvi baina ya Mbunge Msukuma na Mtu aliyeelezewa kama Muwekezaji. Katika video ile ukimsikiliza kwa makini msukuma na yale mazungumzo yake na yule anayeitwa muwekezaji utaelewa mambo yafuatayo; 1. Msukuma anaamini yeye ni sehemu ya Serikali na Serikali ndo...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini masheikh wa BAKWATA hawasapoti demokrasia, utawala bora na haki nchini?

    Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu? Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki...
Back
Top Bottom