Kwanini masheikh wa BAKWATA hawasapoti demokrasia, utawala bora na haki nchini?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?

Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki ya uchaguzi huru katika nchi?
 
WAISLAMU WAACHE WALE BATA KWAKUWA WALIFANYA KAZI KUBWA SANA KUPAMBANIA UHURU WA HII NCHI .

WAACHENI WALE BATA .

DINI YA UISLAM HAINA SHIDA INASEMA USIINGIE KATIKA VITA AMBAYO UTAISHIA KUULIWA KAMA KUKU
 
Umewahi kuona Middle East kuna Demokrasia? Ndiyo urithi wao, dictatorship
 
1. Udini.

Hao mashehe-ubwabwa wa Batwaka wakishajua alieko iluku ni dini yao huwa wanaona ni fursa ya 'kueneza dini'. Hizo mambo ya demokrasia, utawala bora kwao si hoja tena. Mission ni ileile - ni ama uwe hiyo dini au uuliwe. Australia na UK wanalia na kusaga meno saivi.

2. Hawana elimu.
Wewe chukuwa tu Daftari ya Mazoezi geuza nyuma muite kiongozi wao muimbie tebo ya 3 uone kama hajaanza kupotea kuanzia kwenye 3x2.
 
BAKWATA tangu kuundwa kwake msingi wake mkuu ni kutumika na ccm kuzima sauti za waislam wapigania HAKI.

Ndiyo maana mpk kesho, unaona kuna kundi la waislam wasioitambua BAKWATA. SHURA ya maimam ndiyo inawakilisha fikra huru za waislam.

BAKWATA kifupi ni toilet paper ya ccm.
 
1. Udini.

Hao mashehe-ubwabwa wa Batwaka wakishajua alieko iluku ni dini yao huwa wanaona ni fursa ya 'kueneza dini'. Hizo mambo ya demokrasia, utawala bora kwao si hoja tena. Mission ni ileile - ni ama uwe hiyo dini au uuliwe. Australia na UK wanalia na kusaga meno saivi.

2. Hawana elimu.
Wewe chukuwa tu Daftari ya Mazoezi geuza nyuma muite kiongozi wao muimbie tebo ya 3 uone kama hajaanza kupotea kuanzia kwenye 3x2.

Waislamu ndo wamekuletea Uhuru then unawadharau !!!?
 
WAISLAMU WAACHE WALE BATA KWAKUWA WALIFANYA KAZI KUBWA SANA KUPAMBANIA UHURU WA HII NCHI .

WAACHENI WALE BATA .

DINI YA UISLAM HAINA SHIDA INASEMA USIINGIE KATIKA VITA AMBAYO UTAISHIA KUULIWA KAMA KUKU
😅😅😅 Mbona mnawafanya waislam mazuzu sana wajameni? Eti waache wale bata.... So waislamu wanakula bata gani ambazo Wala kitlmoto wanazikosa. Waislam huyu mpuuzi anawafanya mazuzu mno, amkeni.
 
Ndo mnauzia Oman nchi hamna akili nyie. Safari hii kitaumana. Hakuna Mtanganyika atatolewa makende tena kwa ajili ya kupelekwa utumwani Oman.

No fucn chance

Mmegukuwa na akili mgefanya huu ujinga hapa
👇🏾
 
Attachments

  • Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    368.7 KB · Views: 30
Tangu lini masheikh ubwabwa wakawa na akili!, ni walewale tu walamba asali hawawezi kutibua nyuki.
 
Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?

Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki ya uchaguzi huru katika nchi?
kazi ya kuhubiri siasa ni ya wanasiasa,

kazi ya kuhubiri masuala ya kidini ni wajibu wa viongozi wa dini

hakuna haja ya watu wa kuhubiria watu na kuwapeleka kwa Mungu kubabaika na siasa.
hiyo ni nonsense.

kama umeshindwa kuhubiri dini yako, ingia kwenye siasa katika ukamilifu, sio leo unahubiri siasa kesho unahubiri porojo madhabahuni :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom