Kwanini masheikh wa BAKWATA hawasapoti demokrasia, utawala bora na haki nchini?

Kwanini masheikh wa BAKWATA hawasapoti demokrasia, utawala bora na haki nchini?

Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?

Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki ya uchaguzi huru katika nchi?
Shida kubwa ya hao mashekhe ni njaa na uroho, demokrasia ni mapambano ya kudai HAKI na usawa.sasa wewe uliona wapi mtu mwenye njaa na uroho akawa mpigania haki?
 
Ila si hoja kuwa ndio walileta uhuru BIG NO
Wakristo walikuepo
Wenye dini za asili walikuepo


SOMA HISTORIA YA HII NCHI WAISLAMU KAZI NI KUBWA SANA MKUU NA HAIWEZI IKAFANANISHWA NA HAO WAANDIKA WARAKA TEC N.K
 
SOMA HISTORIA YA HII NCHI WAISLAMU KAZI NI KUBWA SANA MKUU NA HAIWEZI IKAFANANISHWA NA HAO WAANDIKA WARAKA TEC N.K
Huna hoja

TANU ilikuwa wazi kwa Waislam, Wakristo na wengine
Swali: Kama uhuru uliletwa na Waislam, kwa nini harakati zilifanyika kupitia TANU, si chama cha dini?
 
Huna hoja

TANU ilikuwa wazi kwa Waislam, Wakristo na wengine
Swali: Kama uhuru uliletwa na Waislam, kwa nini harakati zilifanyika kupitia TANU, si chama cha dini?


MTAFUTE MZEE MOHAMMED YULE WA JF ATAKUPA KITABU
 
Uislamu na DEMOKRASIA ni vitu viwili tofauti kwenye uislamu hakuna kitu kinaitwa DEMOKRASIA...

DEMOKRASIA ni mfumo ulioletwa na makafiri wa kimagharibi ili kuendelea kutawala wajinga
Naona mtoa mada anapuyanga tu uongo mtupu
 
Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?

Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki ya uchaguzi huru katika nchi?
BAKWATA ni jumuia ndani ya CCM hivyo mashehe wake wanasapoti kila upumbavu unaofanywa na chama chao kwa vile huko ndiyo wanalipwa fedha inayowaweka mjini.
 

Attachments

  • VID-20251221-WA0008.mp4
    11 MB
WAISLAMU WAACHE WALE BATA KWAKUWA WALIFANYA KAZI KUBWA SANA KUPAMBANIA UHURU WA HII NCHI .

WAACHENI WALE BATA .

DINI YA UISLAM HAINA SHIDA INASEMA USIINGIE KATIKA VITA AMBAYO UTAISHIA KUULIWA KAMA KUKU
Bakwata siyo uislam, Hii ni Jumuiya ya CCM Iliyoanzishwa na Julius Nyerere na Paulo Bomani
 
Back
Top Bottom