Kwanini masheikh wa BAKWATA hawasapoti demokrasia, utawala bora na haki nchini?

kazi ya kuhubiri siasa ni ya wanasiasa,

kazi ya kuhubiri masuala ya kidini ni wajibu wa viongozi wa dini

hakuna haja ya watu wa kuhubiria watu na kuwapeleka kwa Mungu kubabaika na siasa.
hiyo ni nonsense.

kama umeshindwa kuhubiri dini yako, ingia kwenye siasa katika ukamilifu, sio leo unahubiri siasa kesho unahubiri porojo madhabahuni :NoGodNo:
Ila viongozi wa siasa kutumia majukwaa ya kidini kufanya siasa ni sawa au sio. Bro there is no way unaweza kutenganisha dini na siasa.
 
Waziri Tlaatla!!!!!!!!!!
 
Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?

Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki ya uchaguzi huru katika nchi?
Hayo madai yako yote hapo Samia ameyakuta na ataondoka atayaacha

Subirini Samia akimaliza mda wake akija raisi MKATOLIKI kutoka TEC tutakusaidieni kuandama Ili kumuondoa madarakani msihofu miaka 4 sio mingi

Anayesema raisi ajaye sio MKATOLIKI anyoshe mkono
 
Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?

Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki ya uchaguzi huru katika nchi?
Uongo, uislamu hausapoti democracy uongo huo umeutoa wapi?
 
Tanzania kuna mashekh wengi wa kutengeneza kwa ajenda maalumu ...ndiyo kama hao wa bakwata
 
Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?

Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki ya uchaguzi huru katika nchi?
Hizo jumuia za CCM nazo mnataka zikinzane na misimamo ya chama chao? Nyerere aliianzisha BAKWATA kwa lengo la ku-contain radicalism ndiyo maana kuna time Waislamu walioustukia mchezo huo walianzisha BALUKTA ikapata nguvu sana lakini wakawa radicals waliopitiliza serikali ikaifuta, wakawasambaratisha na wale financiers wao wakakutana na ya kukutana nayo wakaona bora kuendelea kuwa chawa alimradi mkono uende kinywani. BAKWATA ni kikundi cha maslahi binafsi ya viongozi na si zaidi ya hapo. Mufti yuko kiserikali zaidi na si kitaasisi ya dini per se.
 
Ila viongozi wa siasa kutumia majukwaa ya kidini kufanya siasa ni sawa au sio. Bro there is no way unaweza kutenganisha dini na siasa.
Siasa ni uongo uongo na kuteka akili za watu

Siasa Ina uwanja mpana katika kuhakikisha unateka kundi la watu wakuunge mkono

Mwanasiasa anatakiwa aungwe mkono na makundi yote dini, kabila, jinsia, vijana, wazee, walemavu na kila aina ya binadamu hai

Dini sio siasa na kiongozi wa dini hahitaji kuungwa mkono wala kutafuta sapoti ya mtu yoyote yule maana yeye hahitaji kura ya mtu kuwa kiongozi wa dini

Jua kutofautisha siasa na dini, dini hairuhusu uongo ila siasani uongo na hadaa ndio mahali pake tena kikatiba kabisa

Viongozi wa dini kufanya siasa ni kuinajisi dini yao maana wanakuwa waongo kitu ambacho dini inatakaza ila kinyume chake sio kosa kisheria kwa mwanasiasa kutumia dini maana sio kosa kisheria za nchi
 
Ila viongozi wa siasa kutumia majukwaa ya kidini kufanya siasa ni sawa au sio. Bro there is no way unaweza kutenganisha dini na siasa.
ninajojua mimi kitaalamu ni kwamba siasa ni maisha,
na kila binadamu ni mwanasiasa.

hawa kuhubiri dini na wale kuhubiri siasa ni ustaarabu wa kibinadamu katika mgawanyo wa majukumu na ndio maana ukijifanya yote unaonekana wewe ni mtu wa fujo tu na daima wanaochanganya hayo mambo huharibu na kuharibikiwa kama alivyochanganyikiwa fuska gwajima, na nadhani hata mzinifu kitima anaelekea huko huko.

neno la Mungu likikulemea kulihubiri kwasababu watu hawakuelewi kwasababu ya ufuska wako, achana naolo jiunge kwenye siasa in full. Sio unatukana kwenye majukwaa ya kisiasa halafu unakimbia kuficha madhabahuni, hiyo ni nonsense :pulpTRAVOLTA:
 
Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?

Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki ya uchaguzi huru katika nchi?
Kuna watu waliamua kuchagua upande.
Chadema wakisaidiwa na TEC waliamua kuchagua uasi na fujo.
CCM ikisaidiwa na BAKWATA iliamua kuchagua amani na usalama.
 
Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?

Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki ya uchaguzi huru katika nchi?
Kweli
 
Hawa masheikh wa bakwata maisha yao yote yanaendeshwa na serikali ya CCM...chochote kinachohatarisha utawala wa CCM na wenyewe kinawahatarisha....kamwe hauwezi kuwasikia wakiikomalia serikali kuhusu utekaji, demokrasia na utawala bora...mfano rahisi tu ni walivyonyuti issue ya MKIRU
 
Bakwata hamna shekhe hata mmoja wote wale matiss tu yanavaa kanzu, vilemba na shanga mkononi kuzuga kenge zingine maisha yaendele...
 
Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?

Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki ya uchaguzi huru katika nchi?
Kusapoti demokrasia, utawala Bora ni kuunga mkono mo29?
 
Uongo, uislamu hausapoti democracy uongo huo umeutoa wapi?
Uislamu na DEMOKRASIA ni vitu viwili tofauti kwenye uislamu hakuna kitu kinaitwa DEMOKRASIA...

DEMOKRASIA ni mfumo ulioletwa na makafiri wa kimagharibi ili kuendelea kutawala wajinga
 
Utawasikia wakipiga kelele za haki kama enzi zile za CUF na Maalim Seif siku infidel akiwa rais.
Wape muda
 
ninajojua mimi kitaalamu ni kwamba siasa ni maisha,
na kila binadamu ni mwanasiasa.

hawa kuhubiri dini na wale kuhubiri siasa ni ustaarabu wa kibinadamu katika mgawanyo wa majukumu na ndio maana ukijifanya yote unaonekana wewe ni mtu wa fujo tu na daima wanaochanganya hayo mambo huharibu na kuharibikiwa kama alivyochanganyikiwa fuska gwajima, na nadhani hata mzinifu kitima anaelekea huko huko.

neno la Mungu likikulemea kulihubiri kwasababu watu hawakuelewi kwasababu ya ufuska wako, achana naolo jiunge kwenye siasa in full. Sio unatukana kwenye majukwaa ya kisiasa halafu unakimbia kuficha madhabahuni, hiyo ni nonsense :pulpTRAVOLTA:
Nakubalina na ww ni kweli every living human being is a political animal, means siasa ni sehemu ya maisha ya bibadamu.

Lakini kwa upande wa Imani za kidini tunaelekezwa dini Haina mipaka katika kukemea maovu ilwe ndani ya dini husika au nje ya dini husika as long as maovu yanaathiri maisha ya binadamu.

Hoja iliyopo ni MASHEIKH wa kipindi hiki wameamua kufumbia macho maovu ya wanasiasa either kwa kujua au kwa makusudi mazima, mbaya zaidi wanashambulia upande ambao umejipambanua kukemea hayo maovu.

Hapa tunaweka kando tabia binafsi za wanaokemea au kutetea uovu wa wanasiasa. Tunaangalia kwa upqna dhana ya dini dhidi ya maovu.
 
Uislamu na DEMOKRASIA ni vitu viwili tofauti kwenye uislamu hakuna kitu kinaitwa DEMOKRASIA...

DEMOKRASIA ni mfumo ulioletwa na makafiri wa kimagharibi ili kuendelea kutawala wajinga
Kulingana na uislamu mfumo gani wa utawala ndio sahihi kwa nchi??
 
WAISLAMU WAACHE WALE BATA KWAKUWA WALIFANYA KAZI KUBWA SANA KUPAMBANIA UHURU WA HII NCHI .

WAACHENI WALE BATA .

DINI YA UISLAM HAINA SHIDA INASEMA USIINGIE KATIKA VITA AMBAYO UTAISHIA KUULIWA KAMA KUKU
Waislam walikuwa miongoni mwa makundi muhimu yaliyopigania uhuru wa Tanganyika pamoja na wengine.”

✅ Ni sahihi kusema Waislam walitoa mchango mkubwa kwakuwa walikuwa wengi katika miji na maeneo ya pwani
✅ Uhuru ulikuwa matokeo ya umoja wa Watanganyika wote

Lakini uongozi mkuu haukuwa wa kidini
Nyerere alikuwa mkristo
 
Back
Top Bottom