Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Demokrasia ya kiliberali (Liberal democracy) imekufa duniani, imezikiwa na utawala wa Trump, Israel na matajiri mabilionea wa dunia. Tupiganie zaidi utawala unaowajibika kuleta maendeleo ya vitu na unaowajibika kwa raia bila kujali unapatikanaje.
Ni bahati mbaya sana demokrasia imekufa kabla Tanzania hatujaionja.
Ni bahati mbaya sana demokrasia imekufa kabla Tanzania hatujaionja.