Patrobas Katambi amuweka Samia Suluhu kwenye minzani ya Utawala bora na Utawala wa Sheria

Patrobas Katambi amuweka Samia Suluhu kwenye minzani ya Utawala bora na Utawala wa Sheria

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Patrobas Katambi amuweka Samia Suluhu kwenye minzani ya Utawala bora na Utawala wa Sheria.

Samia alijua atakuwa mtu wa kumsaidia kuwaunganisha watanzania.

Badala yake katambi kamvua nguo Samia hadharani.

Je, Matendo ya Katambi ni Maagizo ya Samia. Au kamuweka njia panda?
 
Mazafaka hakujituma mwenyewe kutoa hilo agizo. Wewe unadhani hilo agizo na kauli zilizofuatia za mazafaka Nchemba ni coincidence?
 
Mleta mada unadhani hiyo kauli ni ya Katambi?
Hujui kutofautisha kati ya mzungumzaji na microphone?
Hujui Katambi ni microphone?
Na hujui kama Katambi ametumika kama microphone kauli yake bado ina uhalali kisheria?
 
Mtajua wenyewe haters wa Samia, sisi watanzania tunachokijua ni kuwa ujinga ujinga kwishnei......tuko bize na Maandalizi ya mwashamba ya njugu saa hizi kwani tumeambiwa zinapokelewa ghalani mwakani.
 
Back
Top Bottom