Hii ingeonyesha heshima kwa sheria zetu na utawa bora unaogeshimu sheria
Katuga hakufikiri vizuri kuweka pingamizi la mashahidi wa Lissu upande wa serikali kwani hofu yake ni nini.
Kwani wakisimama kutoa ushahidi watageuzwa kuwa wao ndiyo wahaini
Wito wangu kwa mama yetu mwambie Katuga aondoshe pingamizi lake we uende pale ukaieleze mahakama ukweli juu ya uhaini wa lisu nakwapia wallah mataifa yote yatarudisha matumaini upya kwa serikali yako