Yani sasa hivi ukitaka kwenda jela tukana Rais. Hii ni moja ya dalili ya mwisho kwa nchi zilizokosa utawala wa haki au chama kujiogopa ili kubakia nafasi yao.
Nchi zilizofanya haya moja wapo Tanzania inakaribia ukingoni. Yaani sasa hivi chama au Rais hata mimi kaka yake shetani siogopwi sababu...
Katika ujinga ambao sitokuja kuufanya ni kuchongoa mdomo wangu eti kupigania haki ya watanzania wenzangu.
Yaani mimi nimpiganie haki mwenzangu halafu nife yeye abaki anakula raha.
Pia soma:
SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na...
Kwamba hawa nao tumawapa majukwaa ya kisiasa na kuwashangilia?
Kwamba tuna hata wenye kujidhania kuwa ni wenye hoja kuliko hata wenye CV zao zinazojulikana kimataifa?
Kwamba tumefikia hatua ya kuwaacha hata wapuuzi kuwanyanyapaa wenye akili zao?
Na Bado tupo tupo tunakenua? Ama kwa hakika...
Takwimu za Benki ya Dunia na Taasisi ya Utafiti wa Maendeleo ya Jamii na Uchumi (REPOA) zinakadiria takriban watu 800,000 hadi 1,000,000 huingia katika Soko la Ajira Tanzania kila Mwaka, ambapo wanaopata kazi ni kati ya 60,000 hadi 200,000 tu
Je, unapendekeza Serikali na Sekta Binafsi zinafanye...
Makonda amekaidi wito wa tume ya haki za binadamu na utawala bora, kiburi ameitoa wapi, Rais anachukuliaje hizo dharau? Km vp hiyo tume ifutwe au imeundwa kwa ajili ya kina nani. Makonda hafai kuwa kiongozi mkubwa, yupo kupumbaza wajinga.
Pia soma: Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora...
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imemkuta na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka, Mkuu wa Mkoa wa Arusha (RC), Paul Makonda aliyeagiza mwananchi mmoja kukamatwa na kuwenda rumande saa 96 bila kufunguliwa mashtaka.
Pia imesema, Makonda alipoitwa mbele ya tume kuwasilisha utetezi...
Kesi ya uchochezi inayomkabili Mwanaharakati na Mkurugenzi wa GH Foundation, Godlisten Malisa imezua sintofahamu baada ya kufika mahakamani leo, Julai 18, 2024 mkoani Kilimanjaro na kukuta kesi hiyo bado haijasajiliwa.
Pia soma: Kilimanjaro: Godlisten Malissa afikishwa Mahakamani
Malisa...
Wakuu,
Mwaka huu 2024 tutafanya uchaguzi wa serikali za mtaa na mwakani 2025 tutafanya uchaguzi Mkuu ambapo tutachagua Madiwani, Wabunge pamoja na Rais.
Kwa kuzingatia chaguzi za nyuma mpaka kufikia leo ungependa zoezi la uchaguzi lifanyikaje ili kuongeza uwajibikaji, utawala bora pamoja na...
Mkurugenzi wa Taasisi ya GH Foundation, Godlisten Malissa tayari amefikishwa Mahakamani leo 18/07/2024, ambako anatarajiwa kusomewa Mashtaka kadhaa likiwemo la Uchochezi
Pia soma: Malisa aripoti Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi, ajulishwa kuwa upelelezi haujakamilika
Anatetewa na Mawakili Hekima...
Vyombo vyetu vinafanya kazi kubwa sana, yapo mambo makubwa ambayo yanahitaji hadi Rais ashirikishwe kufanya maamuzi lakini mambo mengi hupuuzwa.
Kwa sababu Katiba imempa mamlaka makubwa mkuu wa nchi hasa kwenye teuzi na mambo mengine ndiyo maana anapoona unaenda kinyume naye utaishia...
Salaam wakuu,
Miaka ya hivi karibuni kumeibuka tabia hii mbaya ya kutumia wananchi wanaokumbwa na matatizo mbalimbali hasa wanaokumbana na mkono wa sheria.
Imefika wakati hadi wanamgombania kama mpira wa kona raia aliye kwenye matatizo husika ili kila mmoja basi aonekane akijali tatizo lake...
"Tanzania tuitakayo kwa miaka 5 hadi 25" Katika mapambano dhidi ya rushwa na utawala bora
UTANGULIZI
Mfumo wa data wazi ni mfumo ambao unaruhusu ufikiaji wa data na taarifa bila vikwazo au vizuizi. Kuna mambo kadhaa yanayowakilisha mfumo wa data wazi kama vile data inapatikana bila malipo au...
Imewahi kunukuliwa kwa viongozi waliopita wa Taifa letu na kitu ambacho ni ukweli ya kwamba nchi yetu ni tajiri, Na utajiri wetu unajidhihirisha katika rasilimali zetu za asili kwa maana ya madini, mbuga za wanyama (utalii), maziwa, mito na bahari, ardhi na watu. Kwa maana nyingine tuna kila...
haki jinai
haki za walemavu
maslahi ya taifa
rasilimali za taifa
rushwa kwa wanahabari
tume huru ya taifa ya uchaguzi
tume huru ya uchaguzi
uchumi imara
uchumi jumuishi
utawalabora
Tanzania Tuitakayo
Na Ndugu. Godlisten Mwasha.
Mabadiliko ya kiuchumi, elimu, huduma za afya, na utawala ni nguzo muhimu kwa maendeleo endelevu ya taifa letu la Tanzania. Katika karne ya 21, ni muhimu kuzingatia jinsi tunavyoweza kuboresha sekta hizi ili kuleta mabadiliko chanya na ya kudumu...
Ni Hadithi ya Nguo Mpya za Mfalme, ni hadithi ya Kidenmarki iliyoandikwa na Hans Christian Andersen, iliyochapishwa mwaka wa 1837. Lakini inaakisi maisha yetu waafrika wasasa, kama una D mbili hutatumia nguvu nyingi kujua nini funzo lake kwenye Taifa hili.
Hadithi:
Zamani za kale, kulikuwa na...
The Tanzania We Need: Rising Against Corruption and Championing Good Governance.
In the vibrant heart of East Africa lies Tanzania, a land renowned for its breathtaking landscapes, rich cultural tapestry, and the towering Mount Kilimanjaro.
Beneath this natural splendour, however, there has...
Maendeleo ni mchakato unaohitaji mifumo bora ya uongozi na usimamizi unaozingatia misingi ya haki na uwajibikaji katika nyanja zote za uchumi, jamii, siasa na utamaduni. Katika kufikia Tanzania yenye maendeleo chanya inahitaji,utawala wenye katiba hai inayoweza kutetea maslahi ya taifa, uongozi...
Rais Samia Suluhu Hassan
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa ni kama ifuatavyo:
i Amemteua Balozi Dkt. John Stephen...
governance
mobhare matinyi
msemaji mkuu wa serikali atenguliwa
thobias makoba
utawalabora
uteuzi juni 15
uteuzi thobias makoba
uteuzi wa rais samia
uteuzi wa rais samia juni 15
Tanzania ni taifa linalopatikana Afrika ya mashariki na ni mwanachama wa jumuiya ya nchi za Afrika mashariki (EAC), katika jumuiya hiyo kila taifa linaongozwa na siasa ambazo hazifanani kabisa na taifa lingine. Hii ni kutokana na historia tangu mataifa haya yaliopoundwa, kwa mfano Kenya ni taifa...
UCHECHEMUZI WA SERA KWA MAENDELEO ENDELEVU NA UTHABITI WA UTAWALA BORA
Tanzania tangu uhuru na muungano kuna maeneo mengi hatujayafikia ili kufikia Maendeleo endelevu kwenye viwango vya kiuchumi hata Kama tulipo tangazwa katika awamu ya tano na Bank ya Afrika kuwa tumeingia uchumi wa Kati. Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.