J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Aug 16, 2024 #1 Nazungumzia katika zama hizi kuna Kiongozi asiyeteua nduguze na Marafiki washiriki kumsaidia katika Uongozi wake? Hii Dunia imebadilika sana Uadui na uovu umetapakaa kila kona Jumaa Mubarak π
Nazungumzia katika zama hizi kuna Kiongozi asiyeteua nduguze na Marafiki washiriki kumsaidia katika Uongozi wake? Hii Dunia imebadilika sana Uadui na uovu umetapakaa kila kona Jumaa Mubarak π
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 13,544 Reaction score 43,537 Aug 16, 2024 #2 Mkapa ndugu zake waliomzunguka walikua kina nani?
C Covax JF-Expert Member Joined Feb 15, 2021 Posts 10,198 Reaction score 35,323 Aug 16, 2024 #3 johnthebaptist said: Nazungumzia katika zama hizi kuna Kiongozi asiyeteua nduguze na Marafiki washiriki kumsaidia katika Uongozi wake? Hii Dunia imebadilika sana Uadui na uovu umetapakaa kila kona Jumaa Mubarak [emoji2] Click to expand... Ni Tanzania tu yenye watu wanafiki, usipo weke ndugu zako unakufa bila kujua.
johnthebaptist said: Nazungumzia katika zama hizi kuna Kiongozi asiyeteua nduguze na Marafiki washiriki kumsaidia katika Uongozi wake? Hii Dunia imebadilika sana Uadui na uovu umetapakaa kila kona Jumaa Mubarak [emoji2] Click to expand... Ni Tanzania tu yenye watu wanafiki, usipo weke ndugu zako unakufa bila kujua.
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Aug 16, 2024 #4 Wapo wengi tu.
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,774 Reaction score 47,866 Aug 16, 2024 #5 Nina hakika Europe na America hakuan
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Aug 16, 2024 #6 Mpaji Mungu said: Mkapa ndugu zake waliomzunguka walikua kina nani? Click to expand... Huyu mzee alikataa hata watoto wake kuingia kwenye utumishi wa umma
Mpaji Mungu said: Mkapa ndugu zake waliomzunguka walikua kina nani? Click to expand... Huyu mzee alikataa hata watoto wake kuingia kwenye utumishi wa umma
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Aug 16, 2024 #7 Basi Nenda said: Nina hakika Europe na America hakuan Click to expand... Hata nchi kama South au Zambia hakuna huu ujinga
Basi Nenda said: Nina hakika Europe na America hakuan Click to expand... Hata nchi kama South au Zambia hakuna huu ujinga