Kigonash
Senior Member
- Mar 20, 2020
- 113
- 106
Kuna andiko katika biblia sikumbuki mstari gani lakini nakumbuka yesu alikuwa anafundisha wafuasi wake akasema mpanzi alikwenda kupanda mbegu katika konde lakini zilipoota zikaota na magugu mwenye shamba alauliza mbona nilipanda mbegu nzuri magugu yametoka wapi? Yesu akawaambia yule mwovu Usk alienda shambani kupanda magugu.
Basi akawaambia wafanyakazi wake yaacheni magugu na ngano ziote na kukua kwa pamoja siku ya mavuno tutachukua ngano na kuweka ghalani na magugu tutayakusanya na kuyachoma.
Sasa yesu alitoa ufafanuzi kuwa shamba au konde ni ulimwengu mpanzi ni mungu mwenyewe.kwa hiyo humu duniani kuna wana wa mungu na wasio wa mungu tunaishi nao na ndo wanaoleta mitihani yote haya humu duniani.
Watu hawa ambao ni wana wa ibiilisi hawana chembe ya hofu ya mungu na wanamtukana mumgu na kumdhihaki.
Walipatikana vip malaika waasi walizaa na binti za wanadamu wakazaliwa hao wasiomwogopa mungu na ni watu wenye uwezo mkubwa wenye akili na wenye kusifiwa sana biblia kitabu cha mwanzo mstati sikumbuli lakini inaeleza kuwa wana wa mungu walizaa na binti za wanadamu. Hao wana wa mungu ni malaika waasi.
Kwa hiyo hata hii corona huenda ni kazi ya hao watoto wa hao wana wa mungu waliozaliwa kwetu duniani kwa kuwa lengo lao ni kuweka ufalme wao duniani na kuteka dunia nzima isimwabudu mungu ila ibilisi