Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,214
Okay thank youBebi next time ukija hapo nijulishe nije nilipe bili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay thank youBebi next time ukija hapo nijulishe nije nilipe bili
Mtakufa kibudu kenge nyie
Hahaa [emoji23]Kib
Kibada hiyo, maeneo yangu haya kabla sijaamua (kutubu), kusalimu amri kwa muumba wangu.
Hahaa.. Hapafai kwa kweli, nashukuru sasa nimeacha. Hapo ibilisi anatembea pekupeku bila ndala. [emoji23]
Kuna The Giant siku hizi,ni nomaHahaa.. Hapafai kwa kweli, nashukuru sasa nimeacha. Hapo ibilisi anatembea pekupeku bila ndala. [emoji23]
Pale palikuwa na watoto wa kumwaga mkuu. Maeneo yangu hayo.Hahaa.. Hapafai kwa kweli, nashukuru sasa nimeacha. Hapo ibilisi anatembea pekupeku bila ndala. [emoji23]
Si pale big stone, zamani facebook ikaja kuwa ngamia, sasa the giant.Kuna The Giant siku hizi,ni noma
hapo big stone, Napapita tu siku hizi, kigamboni ukifungua kiwanja kipya tu, unawaotea watu.Pale palikuwa na watoto wa kumwaga mkuu. Maeneo yangu hayo.
Ila now kuna The Giant asee ni balaa napo.
Hahah!!Kuna The Giant siku hizi,ni noma