Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Mimi na kijerumani wapi na wapi jamani, ningeenda kutranslate nikujibu ila unajua sipendi kusumbuka? sisi tuendelee tu na lugha yetu ya taifa 😂Hcho ni kijerumani hapo nimekuliza
"Mbona unacheka my dear"
Wengine tupo kwa mama nairo karibu na barabara mpya 🤠🤠🤠Wapo ulaya hao tuwaamini tu 😅 si wengine tupo A-town ngusero
Huyo atakuwa Dithmarschen anafuga farasi.Ujerumani ya wapi mleta mada.
Hatuna mbwembwe 😅Wengine tupo kwa mama nairo karibu na barabara mpya 🤠🤠🤠
Vipi, nimeku-zoom.
Humu JF ukiwa unaamini watu hovyo utajikuta umesha zeekaHaya mambo ni magumu mnoí ¾í´¦í ¼í¿½ââï¸
Nishindwe kuzeeshwa na maisha yangu halisi nizeeshwe na ushuzi wa jf🥴Humu JF ukiwa unaamini watu hovyo utajikuta umesha zeeka
í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸Nishindwe kuzeeshwa na maisha yangu halisi nizeeshwe na ushuzi wa jfí ¾íµ´
I was just joking.Hapana niko Munich