Hapa Hasheem Thabiti sijui kama anafika

Hapa Hasheem Thabiti sijui kama anafika

Ngongoseke

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
3,202
Reaction score
1,462
Nilipokutana na huyu jamaa mpaka niliogopa kwanza, anaitwa Naazir ni mpakistani ana umri wa miaka 26 jamaa ni mrefu si mchezo,
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1365911786543.jpg
    uploadfromtaptalk1365911786543.jpg
    15.5 KB · Views: 703
  • uploadfromtaptalk1365911965032.jpg
    uploadfromtaptalk1365911965032.jpg
    76.4 KB · Views: 565
Na hata rekodi ya mtu mrefu zaidi duniani inashikiliwa na Mpakistani nadhani.
 
Huyo hamaa anaishi dubai iko picha nilipiga nae juzi jamaa namfika kiunoni mm duh alaf sasa ukipiga pic nae unamlipa dirham kumi
 
Huyo hamaa anaishi dubai iko picha nilipiga nae juzi jamaa namfika kiunoni mm duh alaf sasa ukipiga pic nae unamlipa dirham kumi

Yah kweli jamaa anapesa nyingi sana hata mimi nilipiga nae jana pic nikampa diraham 10
 
Mmmmh mturuki ni zaidi....just wondering lenghth of his tool.:thinking:
 
Back
Top Bottom