Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,462
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hata rekodi ya mtu mrefu zaidi duniani inashikiliwa na Mpakistani nadhani.
Na hata rekodi ya mtu mrefu zaidi duniani inashikiliwa na Mpakistani nadhani.
Huyo hamaa anaishi dubai iko picha nilipiga nae juzi jamaa namfika kiunoni mm duh alaf sasa ukipiga pic nae unamlipa dirham kumi
mmh,watu wanajua kutafuta hela.kupiga picha mpaka umlipeYah kweli jamaa anapesa nyingi sana hata mimi nilipiga nae jana pic nikampa diraham 10
mmh,watu wanajua kutafuta hela.kupiga picha mpaka umlipe
mmmmh mturuki ni zaidi....just wondering lenghth of his tool.:thinking:
hahahahaha!! Nahisi kama nguzo ya umeme,...u realy made my morning