Aliingia breed tarehe 4hadi tarehe nane mwezi wa 12,alipotoka karibu kila siku tunakutana kimwili bila kinga, mzunguko wake ni siku 33,manaane ovulation ilikuwa tarehe 24mwezi uliopita, tangu ovulation leo ni siku ya 12 hajaingia mpna nimempima nikakuta negativu, na analalamika kuwa tumbo na kiuno vinauma, hii imekaaje wakuu